EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,310
- 13,955
Nusu ya moyo wangu natamani aendelee kuwa mtoto tu hivi hivi.an angel.....
Nusu ya moyo wangu natamani aendelee kuwa mtoto tu hivi hivi.an angel.....
Nipo poaSijambo mpendwa wangu
Sijui wewe?
niko poa, naona umeokokamshamba_hachekwi uko poa
Ahaaha sasaiv nimeokoka kabisa sitak utaniniko poa, naona umeokoka
Inaitwaje hii, maneno mazuri
/
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi.
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi.
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante!
Najiuliza, Nikulipe nini?
Kwa yote ulonitendea mimi,
Baba ni mengi,
Siwezi lipa hata kwa senti.
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa,
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa,
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini?
Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu!
Ila nina neno moja,
ASANTE.
Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu!
Ila nina neno moja,
ASANTE.
(Uliyonitendea...)
Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu!
Ila nina neno moja,
ASANTE.
achana na yule binti, unazini.... labda umuoeAhaaha sasaiv nimeokoka kabisa sitak utani
Shukranii by poul clementsInaitwaje hii, maneno mazuri
Ndio kanfanya niokoke imagen upo kikaz lakin kafunga safr kuja mpaka namaliza kazi ndio tunarudi njianachana na yule binti, unazini.... labda umuoe
Nitaicheki niwe nayo, nimeipenda 😍Shukranii by poul clements
nasubiri uzi wako wa vilio....Ndio kanfanya niokoke imagen upo kikaz lakin kafunga safr kuja mpaka namaliza kazi ndio tunarudi njian
Ana nyimbo mzuri sana ukiwa na utulivu unasikiliza mpak Roho mtakatifu anashukaNitaicheki niwe nayo, nimeipenda 😍
Ahahaha usifurahi juu yangu wewe adui yangunasubiri uzi wako wa vilio....
🤣🤣🤣🤣🤣Toto zuri kumbe upo chugamaican yente yente Full masinondo ugaigai kama wote [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Njema kabisaNipo poa
Mungu mwema
Habari ya Arusha
Eeh pole kwa baridiNjema kabisa
Baridi yake 🙌
SI ndo Sera za Wanawake was Sasa, ngoja nimualike Mr Liverpool VPN alisemee.Kwann mnawaza kuachana ,kugawana mali tu?