Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We kimbia, nipo kwenye sherehe kuna mikaka mizuri ya kwendeaaa [emoji39][emoji39][emoji39]
nakula vikorosho hapaaa njoo basi 😊😊
tupi story tu , hatufanyi kitu
Screenshot_20230622-133418.png
 
Amkeniiiiiiiikii Amkeniiiiiiiii

Wewe Mjep ebu muamshe baby wako cocastic mnalala hadi muda huu mna raha gani?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasemaje Nasemaje

Vocha ishatumwa na baby salam zenu hizo[emoji116]View attachment 2665320
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante sana baby unawajibu kwa vitendo tu! rabbitus bro tyr huku

Nyie leo natoa yotreeeeeeeeeeeeere [emoji12]
kumbe kuna watu wanahonga huko PM 😅😅😅😅 ndio wengine tunaonekanaaa kama mavumbi tuuu dah
 
kumbe kuna watu wanahonga huko PM [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ndio wengine tunaonekanaaa kama mavumbi tuuu dah

Lako hilo babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wajukuu wako moto, wewe tafuta mzee mwenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijakataa tamaaa nakutafunia tu virutubisho tu hapaaa ,🤣🤣🤣
 
Amkeniiiiiiiikii Amkeniiiiiiiii

Wewe Mjep ebu muamshe baby wako cocastic mnalala hadi muda huu mna raha gani?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasemaje Nasemaje

Vocha ishatumwa na baby salam zenu hizo[emoji116]View attachment 2665320
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante sana baby unawajibu kwa vitendo tu! rabbitus bro tyr huku

Nyie leo natoa yotreeeeeeeeeeeeere [emoji12]
Mbona hiyo vocha imeshatumika kabla ya kutumwa hapa😅
 
Mbona hiyo vocha imeshatumika kabla ya kutumwa hapa[emoji28]

Ulikuwa unaingiza?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeingiza ndio nikatuma unazani mimi kolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee buku 10 ipotee kilejaleja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom