YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Ujana ale na nani uzee aniletee mie akuui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpe banaaaaaaaa
Ujana ale na nani uzee aniletee mie akuui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee😂🤣, we dada unikome😂🤣, Nina my gf to be Aaliyyah 😍[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe tutakuletea bichwa ss hivi
Mpatie wee, we SI ndo bingwa was kuwasambazia upendo 😂🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpe banaaaaaaaa
Mpatie wee, we SI ndo bingwa was kuwasambazia upendo [emoji23][emoji1787]
Bado birthday inaendelea Wii🤭Wizoooo uwe unasema jmn
Happy birthday 🎂🥳
Safi sanaNdiyo
Kwa ajili ya kupikia keki za biashara.
Happy birthdayBado birthday inaendelea Wii🤭
Ni ruksa kunipa zawadi😆
Thank you
Mipango mizuri sana,ItafanikiwaHakika
Nawaza kufungua bakery
Japo bado naona sijaiva sana [emoji23]
Dah Basi Mimi ni Mr single again🤗🤗Hayo maneno hata kwenye khanga yapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tushawazoea
Mimi countrywide ndio alpha na omega
Asante Kwa kunisaidia 😅Mpatie wee, we SI ndo bingwa was kuwasambazia upendo 😂🤣
Ana gawaaaa huyo🤣😂😂, mpaka namuogopagaa🤣😂Asante Kwa kunisaidia 😅
Huyu anataka kuniingiza Cha kike
Dah Basi Mimi ni Mr single again[emoji847][emoji847]
AminMipango mizuri sana,Itafanikiwa
Ana gawaaaa huyo[emoji1787][emoji23][emoji23], mpaka namuogopagaa[emoji1787][emoji23]
Thank you MjedaHappy birthday
Asante 🙏🙏, mi sikutakii🤣😂. Lovelovie mwambie huyu panyaa🤣😂Sijawai kugawa acha kuniharibia cv bwege wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nia yako niachike huna loloteeee kwendraaaaaa
CV ipii🤔, labda ya kuwagaia mbuzi was mitaa yenu🤣😂Sijawai kugawa acha kuniharibia cv bwege wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nia yako niachike huna loloteeee kwendraaaaaa
Mungu akubariki na kusimamia mipango yako,naamini itafanikiwaAmin