Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baby wako kwa kukupa vocha hapajuii??

Muambie awe anakutumia kwa muamalaa bhana, khaaah
Unaniangushaa uduguuu

Bibie salamu umezipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema wee udugu wangu nimekuachia vocha nyingine kwaajiri yako, na hii ilikuwa ya kukuonyesha tu!

CRDB imenona huko salary linasoma sio shida zangu!! Ningeweka hapa msg ya muhamala sema wanga wengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kesho nakupa ofa twende kwa American nails tukasafishe kucha!! Utachagua wewe za 70,000 au laki [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Chalii ya R anakaba hadi penati [emoji2222][emoji2222]

Shem niitie cocastic mwambie nina mzigo wake akichelewa nautumia [emoji12]
Uduguuuuuu nimekujaaaaaa hapaaaa, semeleaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nione pm nikupe mapesaa hapa jau [emoji23][emoji23][emoji23]
CW kampuni kubwaaaaaaa
 
Bibie salamu umezipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema wee udugu wangu nimekuachia vocha nyingine kwaajiri yako, na hii ilikuwa ya kukuonyesha tu!

CRDB imenona huko salary linasoma sio shida zangu!! Ningeweka hapa msg ya muhamala sema wanga wengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kesho nakupa ofa twende kwa American nails tukasafishe kucha!! Utachagua wewe za 70,000 au laki [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Wee uduguuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambieee???
 
Back
Top Bottom