Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi pia. My better half is from jf...My first internship nilielekezwa na jamaa from jf. Kuna bidhaa na biashara huwa nanunua from members ambao tumejuana humu.

Kikubwa watu wanajistukia hususan wadada. Be real kuna wale wanajikuta wanafake saana wakijulikana uhalisia wao wanakosa confidence ya kuishi humu.

Wana wengi saana tumejuana humu kumbe wengine ni class mate kabisaa tena sometimes tulikuwa hadi n friends.

Changamoto sometimes unaweza kushindwa kueleza mambo yako hususan zile inner problems kutokana na kujulikana. Kitu kama hiki kinafanya usiwe free saaana. So ku avoid soo unajikuta una 'fekero' nadhan mnanielewa nikisema fekero
Unakuwa na ID nyingine.😀
 
IMG_20191127_173331_4.jpg
 
Mie kuna mtu aliwahi niambia mwandiko wangu unafanana na wa id moja hivi kongwe tu humu akanitajia hiyo id halafu akanambia huyo dada anaishi nje nikamuambia siyo mimi sina id zaidi ya moja humu
Itafika wakati ukishafahamiana na baadhi ya member utalazimika uwe na id nyingine tu ili ikupe uhuru wa kutoa mambo yako ya ndani zaidi.😀
 
Back
Top Bottom