Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!

Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes

Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu

Mwisho wa siku genge lichangamshwe

Mradi siku iendeee dear
 
Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!

Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes

(Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu)

Mwisho wa siku genge lichangamshwe
😂😂😂😂 Kwenye mabano nimecheka daaah....
 
Hah

Back
Top Bottom