Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Ko huwa unangea na mchuchu mwenzako kule wozap..
Kabisa jamani!! Ujue mimi sio muoga kama wewe?!
Kabisa jamani!! Ujue mimi sio muoga kama wewe?!
Jirani na segera!!
Baharia inapendeza ukiweka na ya juuu.Mara moja moja kwaajili ya mabahariaView attachment 1274436
Hivi tulishaongea wozap eeehhh!!Ko huwa unangea na mchuchu mwenzako kule wozap..







EnheeeJirani na segera!!
Viatu vyangu kupata vumbi ni vigumu sana, kwa sababu nikikivaa leo, kukirudia ni mpaka miaka miwili ipite, halafu kikitoka mlangoni nyumbani kinapiga hatua chache kwenda kwenye BMW, kikitoka kwenye BMW, kinapiga hatua chache kuingia ofisini.Mkuu upo dunia ambayo kiatu hakijui vumbi ni kitu gani? Kuna dunia viatu navyo vinafurahia maisha![]()
Saa tano usiku hiyo, ubachela kazi kweliHahahha saaafi saana mkuu
@KarmaViatu vyangu kupata vumbi ni vigumu sana, kwa sababu nikikivaa leo, kukirudia ni mpaka miaka miwili ipite, halafu kikitoka mlangoni nyumbani kinapiga hatua chache kwenda kwenye BMW, kikitoka kwenye BMW, kinapiga hatua chache kuingia ofisini.
Kinachopata tabu labda rubber ya mazoezi kwenye treadmill.
Haya mabuti na vimoka niliacha kuhesabu nilipofikisha 600, kuna vingine hata kuvaa bado sijawahi kuvivaa.
Sasa katika mazingira hayo, vumbi labda kwenye closet, na mimi nyumbani full AC sifungui madirisha, vumbi kufika kwenye closet ni tabu sana.
Just sayin'.

Hivi tulishaongea wozap eeehhh!!
![]()
Hahaha nakumbuka vizuri zile kordo zilikuwa hazitoshi.( I was there)Ahahhahaa kuna mwaka ile hall 2 tulikesha chini ya jengo ilipiga radi moja na upepo mkali saana tukawa tunaona jengo linatingishika watu wakaanza kukimbia wote tukiwa kwenye ngazi kuna vile vidilsha vya vitobo vikawa vinaanguka.
Sijui ulikuwepo au ulisikia.
hahaha sitaniii.Enheee
HahahahahahaMbuzi meee wewe..
Unataka nifukue makaburi ya zile voice note...!?
Kwa mbaaaliii naona mtu kasimama kwenye miwani
Mpinga Kristo kumbe hata nyuzi kama hizi huwa unakuwepo pia?!Viatu vyangu kupata vumbi ni vigumu sana, kwa sababu nikikivaa leo, kukirudia ni mpaka miaka miwili ipite, halafu kikitoka mlangoni nyumbani kinapiga hatua chache kwenda kwenye BMW, kikitoka kwenye BMW, kinapiga hatua chache kuingia ofisini.
Kinachopata tabu labda rubber ya mazoezi kwenye treadmill.
Haya mabuti na vimoka niliacha kuhesabu nilipofikisha 600, kuna vingine hata kuvaa bado sijawahi kuvivaa.
Sasa katika mazingira hayo, vumbi labda kwenye closet, na mimi nyumbani full AC sifungui madirisha, vumbi kufika kwenye closet ni tabu sana.
Just sayin'.
Jamani