Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,752
- 109,846
Hivi hayo maAC bado yapo ulimwenguni?
Je hii [emoji23][emoji7][emoji23]View attachment 1270007
Je hii [emoji23][emoji7][emoji23]View attachment 1270007
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamama bwana!
Nashukur kaka....
Huwa najifunza kupitia mitandao namna kumetisha
ukivaa mkanda mweusi lazima kiatu kiwe cheusi
Ukivaa suruali inabidi ifanane na soksi zako
Pia, muonekano wa mtu kupendeza hauangaliwi na gharama za nguo alizovaa bali ni KIATU mfn mtu akivaa suti ya gharama ata milion af chini akitupia kandambili we unahisi atapendeza??!! [emoji23]
Wanasaikolojia wanasema ukikutana na mtu kitu cha kwanza katika mavazi wanachoangalia ni KIATU[emoji148][emoji151][emoji150][emoji152][emoji149] af vinafata vingne, jichunguze ata ww
USHAURI; Jitahidi kuvaa kiatu kizuri kiuhalisia utaonekana umependeza ata ukivaa nguo mtumba ila ukivaa nguo bei ghali af kiatu kibaya au kichafu huwez pendeza
Asante
Nimeota tupo kwenye ndege mojawapo ya ATCL ile crew inatuimbia wimbo wa Beautiful people.
Unakosea kutokuniamini
Tumefanyaje?
Mpenzi hadi saa 8 usiku upo macho. Shida nini ?
Niko hapaa 😘Nlikumiss jamani haaaa jana ujue sijakuona
there you go! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]wewe na mkweo ndiyo mmenifundisha huo mchezo mjue
kwani hujaona?P
Nimekuja 😂😂😂
Fanya kinachotakiwa basi
😬😬angalia vizuri utaonambona sioni chochote.
macho yangu yana makengezaaa
Hiyo ni revisheni tu ya jeiefu chit chat enzi hiyo
Mkuu
Tulikuwa wote coco nini [emoji3166]
😘😘😘😘Niko hapaa 😘
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna kipindi niliona watu wanafanyiana hivyo,, sema wenyewe walikuwa wanafanyiana kwa ubaya hadi kuna mtu aliwahi kuanzisha uzi kuwa kuna member ni kinara wa kuedit comments za wenzie mods wamshughulikie.. hata mimi kuna mtu aliwahi kunifanyia hivyo kwa ubaya