Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ewaaaaa
Ewaaaaa
Ndiwooo
Me tooI miss your hand writting
Hallelujahyeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..
Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia
Mfano joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana
Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu
Loh!asa mbona ni usumbufu kupanda vitu mara mbili mbili
Angepanda tu shambani moja kwa moja....halafu mwanzo nilijua kitalu ni chakula![]()

Coz I don't take life that serious
Hahahaha aiseee.Hapa penyewe nimetoka kopeshwa
600k. na mwana jf.
yeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..
Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia
Mfano joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana
Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu
Wewe kila siku unanikimbia jamanii, mpaka naanza kuwa na wasi wasi na ID yakoHaya..
Ijumaa...! Nitakuwa maeneo tena..
Ole wako ukimbie kama siku ile ..usitake nitaje location
Sijambo mimi jamani!
Congrants...
Nahisi wewe utakuwa mtu wa pili kukutana na mimi sasa![]()

Wewe kila siku unanikimbia jamanii, mpaka naanza kuwa na wasi wasi na ID yako
ewaaaaaaWewe hujuagi utani kabisaa jamani

..
Naona jinsi mtu atakutana na kivuli
Kwamba hii Id ni ya mchuchu ama?![]()

Du ze nidifuli pleaseewaaaaaa