Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu kuna mtu (me) tunafahamiana aliwahi kukuta nachat na mtu humu (ke) kama tunajuana vile akanifuata inbox kuniuliza kama mimi na huyo dada tunajuana na mimi vyenye akili zangu nazijua mwenyewe nikamuambia ndiyo tunajuana kabisa

Akasema nimtumie namba yake na picha yake nikamuambia siwezi kupa bila ridhaa yake muombe mwenyewe akaniuliza yukoje nikaanza kuelezea yuko hivi na hivi basi ndiyo akazidi kuchanganyikiwa kutaka kumfahamu kumbe wapi mie mwenyewe simfahamu hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha me nishaambiwa humu najuana na ID fulani ya Kike very famous ..mwingine akanambia ID me ishanikaza 😂😂😂
 
Mimi atakuwa mtu wa kwanza wa Jeiefu kuonana na wewe...deal?
Hahah kama nakuona moyo unavyokuenda resi
Kwahiyo tutaonana eenh?? Hivi mimi si ndiyo nimetoka kusema siwezi kuonana na mtu yeyote wa JF jamani?? Moyo unanikosea sana aise yaani unashindana na Kichwa khaa[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
With less than a week to go, who's still in the qualification zone for triple D?

IMG_20191101_080411.jpg
 
Si wanafunguliwaga hadi uzi humu. Hata kiongozi wa wachomoa betri ni mkongwe kweli kweli.

Na hizo id unazodai ni ngeni ndio za hao hao wakongwe wamekuwa wapya ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha...

Bad thing ni kuwa huwa sijui background stories na huwa sitaki jua, hiyo ndio sababu my PM is always locked
 
Back
Top Bottom