Mimi naanzaje eti jamani mdogo wangu mzuri mzuri!!
Wewe "unajuana" na nani humu Karma ? Like one on one unajuana na nani!![emoji39]Haki mie kuna muda JF huwa nashindwa kabisa kuielewa yaani kuna muda unaweza kuta watu wanachat kama wanajuana kuna muda unakuta wanachat kama hawajuani unashindwa kuelewa unabaki na mfurugano na hapo ndipo moyo wako unapokusuta na kukuambia "mind your own business young lady"
[emoji23][emoji23]
Ukiona mambo huyaelewi mambo yao unawaachia wenyewe..unafanya ya kwako dear..jf ni kichaka.
Mkuu upo dunia ambayo kiatu hakijui vumbi ni kitu gani? Kuna dunia viatu navyo vinafurahia maisha[emoji39]
Hapo sasa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shughuli ni kujua ni nani kati yao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Too bad...
Mimi bado nasubiri[emoji3][emoji3]
Unataka kusemaje labda?[emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603]
haha ukuje, unajua jinsi ambavyo sijui matani;Nakuja
Halafu niko serious jamanii
Marahabaaaaaa!Shikamoo
Nashukuru umejifunza na uendelee kujifunza mdogo wanguKabisa dadaake nimejifunza mimi
Ahsante nikipata utambulisho utakuhusu eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea mama, kila la kheri.
Kama mimi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante nikipata utambulisho utakuhusu eeh[emoji23][emoji23]
Aiseee basi hapo mabaharia watakuambia ulichezea bahati,, mie crush wangu sikuwahi muambia chochote hadi tunamaliza na wala sikutaka hata ajue..
Hahaha!Wapiii, wapo wakongwe humu kushuka huo muda na ni mafurushi vile vile.