RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,754
- 129,488
Coz I don't take life that seriousHahaha...
Why do you trust me that deep brooh?
Coz I don't take life that seriousHahaha...
Why do you trust me that deep brooh?
Anha,kile naonaga kimezungushiwa na mfuko kwa pembeni sijui
Nafikiri ni hiyo
Hivi mkuu wewe upo hapahapa Tanzania au upo huko kwa wenzetu!? Maana, dah!..
Upo Australia au??Usiku mwema.
Mwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!
Sasa why upate shida zote hizo?



Jo dear sasa ile miche ikiwa mingi all together mahali pamoja, kawaida mimea jamii ya miti ndio huwa wrapped vile na udongo...
Pia inaweza namaanisha ardhi imelimwa mfano wa bustani (nursery), unapanda hapo miche ya mbegu...
Kuna zitazoota vizuri na kwa ubora utaziamishia shambani, nyingine unazidiscard...
Lemme look for a photo toka online nikuoneshe
Hahahha saaafi saana mkuuNi mayai nimechanganya na nyanya nikajishindilia na ugali kabisa
hahaha mwamba aliona isiwe tabu akaweka mpira kwa pani akajitangazia ushindi kama serikali za mitaa mwaka huuHahaha me nishaambiwa humu najuana na ID fulani ya Kike very famous ..mwingine akanambia ID me ishanikaza 😂😂😂
Yes huwa kama hivi, though hii yako inaonekana ni shamba tayari hapo, maana ni greenhouse ya kienyeji na ishapitishwa mipira ile ya kumwagia maji kwa matone...
I miss your hand writtingUkiongezea na ile picha yako utanoga zaidi![]()
Chat na picha....Guu ana fito mpendwa



yeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..Wewe "unajuana" na nani humu Karma ? Like one on one unajuana na nani!!
Binafsi naweza kichitchat na mtu ukija kusoma ukadhani huyu ameshawahi kuwa mchuchu wangu, kumbe hata pm hatujawahi kwenda
My hand writting misses you more 😅I miss your hand writting
Yes huwa kama hivi, though hii yako inaonekana ni shamba tayari hapo, maana ni greenhouse ya kienyeji na ishapitishwa mipira ile ya kumwagia maji kwa matone...
Kitalu it's something unatumia tu kuoteshea, then unahamishia kwa shamba...ona nishaweka picha hapo juu
Kama naniyeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..
Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia
Mfano joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana
Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu

Yaaani ukafa na tai shingoniOfcourse kuna mkaka mmoja nilikuwaga namuelewa kuanzia tuko form three hadi tunamaliza form six,, halafu nilikuwaga sina hata story naye nilikuwa namuonea aibuwakati miaka yote hiyo minne hatujawahi kusoma madarasa tofauti yaani tulijikuta tunasoma darasa moja hadi tunamaliza..
Na alikuwa back bencher wakati mie nilikuwa front bencher basi alikuwa akija mbele kuniongelesha nilikuwa nahisi kama kamoyo kameruka mapigo kadhaa,, ilikuwaga ni siri yangu ila kuna siku nilijisahau nikawaambia marafiki zangu bwenini nikaja kushituka taarifa zimesambaanikawa nawaza sijui atakuwa kajua..
Lakini hatukuwahi kuambiana chochote,, zaidi ya kuishia kupiga tu story za kawaida za hapa na pale..
Utoto bwana,, siku hizi namuona tu instagram amekuwa a fine young lad not a boy anymore..
Na kwako piaUsiku mwema.