Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Wazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijanaMiss you kipenzi 😘😘😘Sema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😍
they're really affectionate
Wazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijanaMiss you kipenzi 😘😘😘Sema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😍
Aliniacha mwenyewe mbona
🥰🥰🥰 Asante cc Lenie kwa kukazia, kugongelea na misumari ya zege
Akhsaaaaanteeeeeeeeee👏👏👏👏Wazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijana
they're really affectionate
WeuweeehKolezeaaa mamaaaa kolezeaaa wakueleweee!
NdiwoooooWazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijana
they're really affectionate
Hayana formula ndio lkn sio kujihusisha kweny mahusiano na vitotoWee dear, usiseme hivyo labda kwa mtazamo wako. Ila sio kivileee.
Mapenzi hayana 4mula.
EwaaahNdiwooooo
Weeeuweeeeeh 💃💃💃 niletreee mzeee mie niletreeee kipenzi 🤣🤣🤣!!Weuweeeh
wanajua kitu mwanamke anataka
ukipata mzee mmoja hapo akuspoil hadi unasahau vingine 😂😂
AmennnnEwaaah
Wazee waheshimiwe 😍😍
Namsaidia mdogo wangu hapo Coca, asije kupotezewa muda na kuchakazwa na vibishoo kisa vinavaa moka.
Nakupenda sana wewe mpenzi wa mjeda, nikipata mganga mashuhuri nitapiga ndumba 🤣🤣🤣Miss you kipenzi 😘😘😘Sema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😍
Sioooo tuvijana vijana tulamba lipss siioooo visharobaro sioooooo😂🤣🤣🤣🤣🤣!! Waletreeeeeeee wazeeeee waletreeeeee! Afu wazeee waelewaaaaa😛😛😎😎😎😎😎Hayana formula ndio lkn sio kujihusisha kweny mahusiano na vitoto
Daah yani nimejikuta naachia kichekoHivi nakuachaje kwa mfano
Chausiku anafatilia sana penzi letu
Eti tunavaaga satini na vitenge
Kumkomesha tufunge ndoa humu humu selfika



Sasa hotelin wanaenda na hela gan? Inaogopeshaaa.Af vinakuaga havina hata mia, ila picha sasa kutwa kupigia mahotelini.
Toa neno kibungo, achana na hizo kazi ukifa kesho wanatangaza nafasi ya kazi.Niache kwanza em 🤣🤣
Nimetingwa balaaaa