Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Kwahiyo mnataka mapenzi au helaa? 🤣Af vinakuaga havina hata mia, ila picha sasa kutwa kupigia mahotelini.
Kwahiyo mnataka mapenzi au helaa? 🤣Af vinakuaga havina hata mia, ila picha sasa kutwa kupigia mahotelini.
Nipo boss lady leo hapa sibanduki pamechangamka kweli kweliBado upo mr vocha?????? Wewee teinnnaaaaaaa sema kingineeee...nimeambiwa hunaga mbambambaa kabisa!!
Wanaenda tu kwa ajili ya location baby, wakitoka hapo full kupiga miayo wanajongea uswazi kwao kwenye wali wa buku jeroSasa hotelin wanaenda na hela gan? Inaogopeshaaa.
Santo sana kwa kunipenda mjombaaaa!! ubarikiwe eti!!Nakupenda sana wewe mpenzi wa mjeda, nikipata mganga mashuhuri nitapiga ndumba 🤣🤣🤣
Nipo boss lady leo hapa sibanduki pamechangamka kweli kweliBado upo mr vocha?????? Wewee teinnnaaaaaaa sema kingineeee...nimeambiwa hunaga mbambambaa kabisa!!
Hivi mjeda si ndo mimi ama?Santo sana kwa kunipenda mjombaaaa!! ubarikiwe eti!!
I love My sweetdaddie aahh mjedaaaa 🤣🤣🤣🤣😁!!
Amekuja na baraka kama zoteeeee ..haya usitoke hapo best nikubless mie!!Nipo boss lady leo hapa sibanduki pamechangamka kweli kweli
Huyu mama mchungaji asipotee tena wallah
🤣🤣Toa neno kibungo, achana na hizo kazi ukifa kesho wanatangaza nafasi ya kazi.
Bora uwape sifa zao wazee hawatakuacha bure 😂😂
Oyoooo😘😘😘😘😘😘😘Kama kuna nyama choma pia ongezeaaa kabisa!!
Tumsariti basi sweetdaddie wako 🤣🤣🤣🤣 hata mala moja tuSanto sana kwa kunipenda mjombaaaa!! ubarikiwe eti!!
I love My sweetdaddie aahh mjedaaaa 🤣🤣🤣🤣😁!!
Wee em kwendraaaaaAsubuhi umenimalizia vocha.
Zimebaki dk za kumpigia my wangu tu hapa
Achana na kazi kibungo, waambie wewe ni memba muhimu sana hapa selfika so tunakuhitaji kwa sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Wazee wadumuuuu
Nina kqzi jamani 🤣🤣🤣
Nimeshuka chini kufata paid ndo nimeshika simu,, nikirudi juu sina simu.
Ukimuona mmoja niletee na mie 😂Weeeuweeeeeh 💃💃💃 niletreee mzeee mie niletreeee kipenzi 🤣🤣🤣!!
Sasa je nani mwingine kwani !!! Hakunaaaaa .. tutabanana hapohapoooo acha turoganeeeee wasintanieeee kabesaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 in coca's voice 😁😁🤣Hivi mjeda si ndo mimi ama?
Carrasco putin wahi hapa mara moja uondoe huu utata tafadhali🏃🏃🏃
My wangu nakusubiria PM 😍My wangu
Kumbe una miguu mizuri na husemi me sijapenda
Wazee ndio mpango mzima
Kwanza hawana mambo mengi maana wako busy kutafuta hela af sio washamba na pisi maana washazipitia sana so saivi wametulia wanataka uwape utulivu tu.
Cc: Depal






aseeeeeh nyie wazee hata feelings ya denda inakuja kweliiiii? 




kufika hotelin akili yangu inagoma, mwili ndo hauna hata msisimko, nkaona siwezi kukubali kufanÿa kitu ambacho sijisikii, sawa na kubakwaa huku, nkaamua kumuambia ukweli kwa leo sipo sawa. 















Amenituma mimi nije huko pmMy wangu nakusubiria PM 😍
Team my zetu woteee wana tumiguu flani, tumezidiana tu rangiii ‘wewe na My C 😂😂