Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
Huku sie tukiona macho matatu , hao tunadata 😂😂

Redmi iko poa sana
niliona sehemu na bei zake sokoni ni rafiki mno .
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Ukija na mbwembwe zako unapokelewaaa vizuriiiiii unatulizwaaaa kwanzaaa tulia wewweee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh.
 
IMG-20221129-WA0046.jpg
 
Anzaa wee, ukiambatanishaa na vochaaaa.

Ko kunipelekaaa Golden Tulip na kuniacha palee hotelin, sijapendaaa kwa kweli. Ulitaka nife njaa bill ikikataaaa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],haya sasa unipage vocha Mr akee na cocaa.

Jf ya moto, haiboi haichoshi. Uwiiiiih
Kumbe na Golden Tulip tumefika?😁😁😁
Mimi nilidhani tuliishia Johari Rotana

Lakini si nilikuachia mshiko wa kutosha bill isingekata bana🤣

Vocha pa kuweka napajuaa...
 
Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
Tunaotokea kwenye tecno ngoja tuchukue huu ushauri.
Tecno hakuna Camera kabisa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wee ni Chizi ujue akili zako unazijua mwenyewe Hakyanani Nimechekaaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi mtu ntaekutana nae live hawezi amini kama ni mie wahapa! Ni mkimyaa sana afu hata siongei kiivo plus yani sina mbwembwe kama za nyuma ya keyboard kabisa!
Kweli?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom