Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimesikiaaaaa bas sasa niwage buzzy na wazee hawa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee ndio mpango mzima
Kwanza hawana mambo mengi maana wako busy kutafuta hela af sio washamba na pisi maana washazipitia sana so saivi wametulia wanataka uwape utulivu tu.

Cc: Depal
 
Hivyo visharobaro vinavyojua kulamba lips na kupiga picha za kupost sio kabisa.
Mwanaume anasifiwa kufanya kazi, na awe na allergy na camera hasa selfie [emoji23]
Umesikia didi ake cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Na ile style yao ya kufuga madevu khaaa, wanachefua kwakweli 🤣🤣
Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!

Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo😍😍😘😘😘😘!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha wanashaurii pia !!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom