Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kabisa unawamiss wasukuma😁Nimemissije huyo ndugu yako na bangi zake,🙆🙆
Kabisa unawamiss wasukuma😁Nimemissije huyo ndugu yako na bangi zake,🙆🙆
It's our pleasure dear!😘Nimesharudi sasa
komenti Iwekwe sticky kabisaaaa! Hapana chezea cocaaa akeee!!






sio shida zangu kabisaaaa.Watu na Watu wenyyyyyuuuu Aririririririiiiiiiiiii!! Mtatutoa rohoo mwaka huu aweeeee!! Djsio shida zangu kabisaaaa.
Hivi nakuachaje kwa mfanoSini wewe? Maana mtoto wawatu sijui kuacha

Kabisa murembo!! Tena wewe nahisi ndio utanicheka mpaka basi!!
Usianze kuringa tu ukaacha kutusalimia humusio shida zangu kabisaaaa.
Chausiku😎😎😎😎😎😎😄Hivi nakuachaje kwa mfano
Chausiku anafatilia sana penzi letu
Eti tunavaaga satini na vitenge
Kumkomesha tufunge ndoa humu humu selfika
Upambe unauwezaa madam🤣🤣🤣🤣Aiiiiimmmmmeeeeeeeeeennnnnnn💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃!! Hallelujah
Nipo kakakeDadake
Nakusabahi
Li nini hilo mama mchungaji?🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Boss ladyyyy mwenyewe. All is well; namshukuru Mungu.
Nimemiss kuona lile nanhii lako![]()
Eeeh kabisa.Kabisa unawamiss wasukuma![]()
Sikamooo mr vouuchaaaa 😁😁😁! Kwani sikuhizi huselfikagi mr coca akee??😁😁😂🤭🤭🤭 Nimemiss macho manne pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Upambe unauwezaa madam🤣🤣🤣🤣
Oooh chelewa chelewa utaanza kuitwa "ati"mama malezi nimechekaaaaa, chimbozzz kuna ubuyuuuu balaaa sema now niko buzzy kidogo afu naonaga uvivu kuandika.
Wee amekua mkubwa hvyooo? Hongera umekuzaaaa mommah,![]()
Karibu tena sisHellooooo selfikaaaaView attachment 2430488
Jamani tall dark guy wa Saint AnneHS
Nakusabahi rafiki