Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa !!

Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha wanashaurii pia !!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa
sasa na mie napenda heka hekaaaa.
 
Wapi bebe akeee sieeee Mjep 😜!! Tinsley mamaa naomba nione lipss nikae sawa kipenzi!! cocastic Lovelovie kitambo sana hamjatubless wapendwa
Mama mchungaji Heaven Sent njoo uoneeeee, kumbe hili ndo lile pembe la ngombe...!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Wakubwa wanafaidi😍
 
aseeeeeh nyie wazee hata feelings ya denda inakuja kweliiiii?

Niliwahi taka kujaribu date na mtu wa 42yrs, wakat huo niko advance, yule alikua n Dr (Dentist), na alikua ananifatilia mda mrefu, nkaona hebu nimkubali kwan, tukawaa tuna slay tyuuh plus kunipa mahitaji, pesa, siku sasa ya mzagamuo uwiiii.

kufika hotelin akili yangu inagoma, mwili ndo hauna hata msisimko, nkaona siwezi kukubali kufanÿa kitu ambacho sijisikii, sawa na kubakwaa huku, nkaamua kumuambia ukweli kwa leo sipo sawa.

Sema alikua muelewaa tukatoka, tangu paleee nkaamua kuwa mbali name had leo,

Nikimuonaga nacheka mnooo,. Afu yuko vizuriii tyuuh. Sijui ni mind-set angu, nikiona mtu ana date na over 45 cjui namuonaje yaan.
Hamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.

Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.

Wazee oyeeeeee🥰🥰
 
Mind set yako tu hiyo

Sasa si mrudiane?
 
Hamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.

Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.

Wazee oyeeeeee🥰🥰
Angekuwa kijana hapo 😂😂
ndo maana tunawasifia wanajua kulea na kusikiliza .
 
Siyo kwa hizi sifa ulizo mwaga hapa
Leo umekunywa nini??
Si uende darasani huko..!
Vocha nimeshakuwekea kule ebu screenshot uwawekee hapa wathibitishe
niacheee kumpa sifa mahabhuba, laazizi, nyonga mkalia ini, tamuuuu akeee?

Wee kuwa serious afu cjaona mie kulee, fanya jambo kweli, ntakuroga bushaaa oooh au mjegejeee usisimamee mileleee.

Class baadae baadae. Niko vimbwetani nawapa story wadau, bila mie hawaendi,
 
Back
Top Bottom