Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!

Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo😍😍😘😘😘😘!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha!!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Heka heka haziwaishi sababu bado wapo kwenye balehe so ni kama kuna tuvitu tunawawasha washa huko kunako tunasababisha wasiweze kutulia.
 
Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!

Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha!!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nachukua notes.

Tinsley sijui yuko wapi anapitwa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimrogaaa hapo sasa c atakua zezetaaa, uwiiiiiih.

Mwanaume mpoleee na amepoaaa mnooo, yaan hana amsha amsha. Nachopendaaa sio mchoyooooooo.

Mjep naomba vocha ya 30k, ili niamini unanipenda kweli, c nimeambiwa mie wa kupewa buku buku.

Hebu waonesheeee venyeee unanijaliiiii, huhuhuh
Siyo kwa hizi sifa ulizo mwaga hapa 🀣🀣🀣
Leo umekunywa nini??
Si uende darasani huko..!
Vocha nimeshakuwekea kule ebu screenshot uwawekee hapa wathibitishe 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom