Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Wife material uko live naona
Naomba pilau
Wife material uko live naona
Karibu mdogo wanguWife material uko live naona
Naomba pilau
Dogo unapenda ukubwa eeh😂😂Karibu mdogo wangu View attachment 2360956
Ninao tayari mdogo wangu 😂😂😂Dogo unapenda ukubwa eeh😂😂
Tulia utaupata usiwe na haraka
Being a pilau lover aki nimetamani ningekua jirani hapo.
Kinaonekana kitamu😍😋😋
Mdudu weeee😂😂Ninao tayari mdogo wangu 😂😂😂
Endeleza kukodoa macho
Kiukweli sikuwa offline kwa bahati mbaya,, hiyo ngoma me mwenyewe nilifeel utamu wake 😍
Wakali wa hizi kazi tukiamua 🤣🤣Mdudu weeee😂😂
Hongera unajua kupika
Me nina usingz, nalala saivi
Anza na LinkallAnza japo na baiskeli jirani.
NdioHuu mkono wa mwanaume?? Sorry sio kwa ubayaa lakini.
Ipi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]Njoo manzethe[emoji16]
Koti zuri sanaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya kukojoa usaha sitak ukivaa jeans tu utatembea kama umetoka kutahiriwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakubonda shangazi?? Wee haya tyuuuhSiko single aunt ila tu Nipo nyonyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaaaaaah!!!!!!!Twendeni kwa mkapa ngoja niwahi vigoma pale nje
SIMBA INACHEZA LEO TANZANIA NA AFRIKA NZIMA MPKA CAF WANAFURAHA [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.Loooh nipo na mama hapanapita hivi kapiga jicho kaona hii picha,
Kanisema kishenzi,kasema hakujuaga kama naangalia nini
Aisee[emoji2815]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolKama kawaida yangu[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi huwa sipendi zile purukushani
Mara mtu amekuanikia kwapa lake usoni,linanuuka.
Kukwepa yote huwa nakaa mbele.