Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sunday songs enjoy
Screenshot_20220918-131727_Spotify.jpg

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Wa BM wana stress. Umewahi ona dereva wa BM ana sura ya furaha? Gari kila ukitoka out next trip garage. Mafuta yapande bei bado spare, kha.
🤠🤠🤠 Si mnapenda misifa acha ziwanyooshe, wenzenu wenye crown engine oil hata wakiweka povu inakubali tu... tafuta pisi kali ihonge hiyo BM yako.. Naona gari za ulaya zisizo sumbua sana ni Audi na ni cheap kuzi maintain.. Hata mtoto wa chuo anaweza imudu
 
Nimepark natafuta mteja. Naipasha moto tu mara moja kwa week. Maisha yamegeuka.
 
Back
Top Bottom