cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,444
- 188,267
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui nacheka nn hataKumbe kahandsome kadogo kadogo hivi
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui nacheka nn hataKumbe kahandsome kadogo kadogo hivi
Didiiii naomba nifunzee kupikaaa. [emoji8][emoji8][emoji8]Karibu mdogo wangu View attachment 2360956
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaa.Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera take huyo baller
Duh
😁😁😁😁Mkome😂
Bado sijapiga picha ddarajani Tanzanite
Inaelekea weekend yake ilikuwa nzuri...Lenie ameenda kulala
Umenikumbusha mbali 😂😂Mnapenda kweli kutuletea nzi mezani😁
Kwahiyo sisi ambao hatujalala tulikuwa na weekend mbaya? 🙄Inaelekea weekend yake ilikuwa nzuri...
Njoooo didiiiDidiiii naomba nifunzee kupikaaa. [emoji8][emoji8][emoji8]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nyie weekend haijaisha jirani..Kwahiyo sisi ambao hatujalala tulikuwa na weekend mbaya? 🙄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]NilikuwepoView attachment 2358675
Hakuna mzee hapoHawa wazee wa siku hizi mhhh
Sio muelewa afu naonaga shida kujieleza kitu sijafanya,angekua muelewa angeelewa!!!Lakini si umesema unampenda jaribu kumueleza step by step akizingua hapo sawa
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Lenie wimbo nilikuimbia siku ule 😍😍Kaa nami ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke yangu kaa nami
Siku zetu hazikawii kuisha
Siioni lakunifirahisha
View attachment 2360996
Amiyn baba Mchungaji!!Mungu yuko tayari na anasubiri kumsamehe mtu anaye omba msamaha imeandikwa Zaburi 86:5 "Kama wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao".
Ni mwendo wa kununiana tuSio muelewa afu naonaga shida kujieleza kitu sijafanya,angekua muelewa angeelewa!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app