Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
pole sana dearSasa bora la Kimara😁
La Mbezi 😂💔 ni kufuru.
ukiishi huko inabidi uzoee tu hali .
maana ndo palivyo
pole sana dearSasa bora la Kimara😁
La Mbezi 😂💔 ni kufuru.
Na mchanganyiko wa hivyo vikwapa unatoa kitu amazing😁.duh pole , huko mwendokasi ndo balaaa , harufu mixer na watu wamejazana nyomi
Acha tu.pole sana dear
ukiishi huko inabidi uzoee tu hali .
maana ndo palivyo
duh balaaNa mchanganyiko wa hivyo vikwapa unatoa kitu amazing😁.
Pale kivukoni jioni sasa🤣usiombe😂🙌.
hapo kama una haraka ni kutabika na hivyo vikwapa duh la sivyo utachelewa unapoenda .Acha tu.
Ukisema usubiri ukae utasubiri saa nzima upo kwenye foleni ya kukaa.
Utachagua, saa nzima Usimame kwenye foleni ya kupata seat ya kukaa au hiyo saa ukaning'nie na kutaabika na vikwapa vya watu ili ufike haraka.
Huku kwetu mwanzo mwisho hupati seat Mbezi kivukoni.duh balaa
route inayonisumbua asubuhi ni tegeta nyuki hadi kivukoni
magari yanajaza sana asubuhi unakuja kupata seat selander bridge au usipate kabisa .
Hapo bado hujafight kukata tickethapo kama una haraka ni kutabika na hivyo vikwapa duh la sivyo utachelewa unapoenda .
NakupigiaTuamkie kwanza wakubwa
Uringe!😁Nakupigia
duh huko mna changamoto jamani , sema naonaga mnapanga folenii kupata ticket .Huku kwetu mwanzo mwisho hupati seat Mbezi kivukoni.
Au unapata seat posta za zamani,halafu kivukoni ndio ushuke.Mimi huwa sikai .
Ni kuomba Mungu tu wakati wa kusimama uwahi sehemu nzuri.. ukichelewa umekwisha.utanusa vikwapa ukome.
Kwahiyo unailia timing sehemu ya kusimana😂
Pole jirani, nikiuza mihogo ntakununulia bajaji utembelee..Unaweza ona nachekesha😂
Lakini aisee ukisikia tabu za dunia ndio hizi🤣.
Hapo picha linaanza ,nimeishiwa nguvu urafiki na ninatakiwa nifike Mbezi..hakiyanani niliona Cha moto.
yani unafika huko hoiHapo bado hujafight kukata ticket
Jua liwakaange kwenye Foleni ya kupanda pale Mbezi,, Asubuhi tu ile unakuwa hoi..hujafika kwenye vibarua vya watu wakutie stress.
Duh..duh huko mna changamoto jamani , sema naonaga mnapanga folenii kupata ticket .
hapo uwahi tu pakusimama , vikwapa sio poa na huko wanaume wanatabia ya kubambia wadada .
Bora akubambie mtu anayeoga.duh huko mna changamoto jamani , sema naonaga mnapanga folenii kupata ticket .
hapo uwahi tu pakusimama , vikwapa sio poa na huko wanaume wanatabia ya kubambia wadada .
Kumbe kahandsome kadogo kadogo hivi
Ndio hizo express za Mbezi.yani unafika huko hoi
upande express tu uwahi kufika
Anza japo na baiskeli jirani.Pole jirani, nikiuza mihogo ntakununulia bajaji utembelee..
Mi muhengaKumbe kahandsome kadogo kadogo hivi
Vijana wa juzi,muwe mnatupa shkamoo Shangazi zenu.Mi muhenga