AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Nilipita msimbazi,nikataka nipandie hapo.
Aisee nimeenda pale msimbazi A ambapo gari za Mbezi zinapakia,tukakata ticket,tukakaa kuusubiri gari .
Sasa gari imefika,Suma akazuia kupanda..akaingiza watu wake wachache pale akaruhusu gari liondoke.
Sasa tukauliza kwani hilo haliendi Mbezi??anasema niliwaambia watu wanienda Mbezi wakae mlangoni pale,nyie kwanini mlikaa kwenye vitu..Hapo ni saa 3 usiku na gari ndio zinaishia
Alooo😂😂😂,ukisikia Cha moto ndio kile yule kaka alikipata.
Sasa ulitaka tukae wapi?na kama gari hakuna kwanini mlitukatia ticket..akawa anajibu Kwa jeuri,
Kuna mama akawasha moto,tukaunga wote ..zodoa yule Suma.
Tukamwambia tusipopanda gari hapa tunakupeleka polisi Leo,usituchezee.
Akaanza ooh tulieni napiga simu gari like,kama hamtulii sipigi mkae hapahapa..tukamwambia tunawasomba wote ndani leo ukianzia wewe..hamuwezi mkachukua Hela zetu halafu mtukalishe hapa.
Yaani Hadi gari inafika watu wanamzodoa yule kaka pale.
haha mliwakomesha hao sumaNilipita msimbazi,nikataka nipandie hapo.

Leo mmewaamuliahaha mliwakomesha hao suma
pole kwa usumbufu sikujua mnapat shida hivyo
hapa ndo uwanja wa nyumbani
Kweli mimi mwenyewe nimeonahapa ndo uwanja wa nyumbani
tunajiachia kwa kutoa mawazo
Hela ya mwanamke ndyo tamu banaWewe kuomba hela ni lazima. Hela zenu ni tamu sana.
Tuachie timu usituwangumie baki huko huko utopolo

Simba inatisha sana hasa phiri
ndio Mkuu
Lakini fikra tofauti zinaweza kuwa sahihi tofauti na kile kilichopo unajua kuna uhalisia alafu na ukweliMuda mwingine nadhani, kitu bora unaweza fanya ni kukubali kuwa muhanga wa fikra kwa maslah mapana ya kimahusiano na mtu fulani ukizingatia asilimia kubwa ya watu hawaamini ktk uwezekano wa fikra tofauti juu ya suala ambalo wamekuwa wakilifikiri ktk namna fulani.
Kwao fikra tofauti ni ukosefu wa heshima, udharirishaji, ushindani, ujuaji n.k na huenda ikawa sio hivyo.
Atajua yeye mpk hapa asiponisamehe,baasi I'm goin to move on na siku atakayotamani kurudisha urafiki atakuta Sina mdaIla hatakuchukia sana hiyo mindset yake sijui utaibadilishaje
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Mungu yuko tayari na anasubiri kumsamehe mtu anaye omba msamaha imeandikwa Zaburi 86:5 "Kama wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao".Atajua yeye mpk hapa asiponisamehe,baasi I'm goin to move on na siku atakayotamani kurudisha urafiki atakuta Sina mda
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Lakini si umesema unampenda jaribu kumueleza step by step akizingua hapo sawaAtajua yeye mpk hapa asiponisamehe,baasi I'm goin to move on na siku atakayotamani kurudisha urafiki atakuta Sina mda
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, leo nilikwenda church baada ya kupata Mjukuu wa kunisaidia kuvuka Barabara. Si unajua Uzee huu macho hayaoni mbali 🤗Hope umeenda kanisani leo
Hawa wazee wa siku hizi mhhhNi kweli, leo nilikwenda church baada ya kupata Mjukuu wa kunisaidia kuvuka Barabara. Si unajua Uzee huu macho hayaoni mbali
Ni matumaini yangu unaendelea vizuri![]()
Usijali Mjukuu, nimeshaanza kuchonga mpini mrefu kutosha jembe lako🤪Kanda ya ziwa itapendeza,maana mwenyewe ni mrefu,litaniepushia kuinama,kuumia kiuno![]()
🤗🤸🤸Hawa wazee wa siku hizi mhhh
Jamaa hii kazi anaiweza, utasema Mkongoman wa Bendi anavyokuwa anawarusha matajiri kwenye nyimbo zao 🙌Hahaaaaaa
Hapana chiefIs that RVR?? 🔥🔥🔥