Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora akubambie mtu anayeoga.
Kuna wakaka wanajipenda wananukia,hata ukisimama naye hujutii.
Kuna siku nilisimama sehemu hakuna pa kushikilia..nikawa nayumba sana,kuna kaka akanivuta upande wake karibu na kwa kuegemea..akanipa space.
Nilimshikilia huku yeye ameshika sehemu ila alikuwa msafi huyo..Nilipenda šŸ˜‚.

Linakubambia jitu linanuuka.. aiseee mimi huwa natoa barakoa navaa.
hahaha umenichekesha Anne
wakaka wasafi huwa wanavutia sana , huyo kaka unaweza upande naye bus daily .
 
Ndio hizo express za Mbezi.
Ikitoka kule inasimama ,posta,halmashauri,kisutu,Fire na Manzese kupakia.
Halafu inaanza kushusha Stop over.

Sasa wale wa mwendokasi walivyo wapumbavu,Mpo pale kivukoni,gari imejaa na watu wamesimama..Badala iondoke ije ipakie fire,,inakaa pale kusubiri watu wa kusimama.

Sasa inakuwa abiria mpo kwenye foleni ya kusubiri gari ya kukaa,na wao gari ilishajaa na hawataki kuiondoa,wanasubiri watu wa kusimama .
Wapumbavu sana wale jamaa,kama mko humu mjirekebishe.

J2 hakuna Gari ya Mbezi moja kwa moja, kwahiyo Hadi upande jingine Kimara.
Pale kimara,unakuta gari imeshajaa na watu mmesimama,wao walivyo wapumbavu wa kutupwa, wapo chini wanapiga tu stori,nyie mmesimama tu humo ndani mnafukutwa na joto.
duh pole sana jamani maana si maudhi hayo . wajirekibishe hao madereva .
 
Bora akubambie mtu anayeoga.
Kuna wakaka wanajipenda wananukia,hata ukisimama naye hujutii.
Kuna siku nilisimama sehemu hakuna pa kushikilia..nikawa nayumba sana,kuna kaka akanivuta upande wake karibu na kwa kuegemea..akanipa space.
Nilimshikilia huku yeye ameshika sehemu ila alikuwa msafi huyo..Nilipenda šŸ˜‚.

Linakubambia jitu linanuuka.. aiseee mimi huwa natoa barakoa navaa.
ndo michezo yao hiyo kubambia wadada hahha .
mtu mwenye kiharufu akikusogelea kero
 
Vijana wa juzi,muwe mnatupa shkamoo Shangazi zenu.
Napiga Kura, Ni Mkuu wa Kaya.. Na kubwa zaidi...

PXL_20220918_142052950.PORTRAIT.jpg
 
eeh hao wanakera last week nilipanda hapo kivukoni , nampa buku anajifanya nimempa 650
hataki kunipa chenji .

bora wawaseme tu hao maanaa hawapo makini
 
eeh hao wanakera last week nilipanda hapo kivukoni , nampa buku anajifanya nimempa 650
hataki kunipa chenji .

bora wawaseme tu hao maanaa hawapo makini
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kuna siku tulimshambulia Suma..haji kutusahau.
Watu tumechoka ,yeye anakuja kutuletea stress zake🤣
 
haha , watu wenye hasira kali
Nilipita msimbazi,nikataka nipandie hapo.
Aisee nimeenda pale msimbazi A ambapo gari za Mbezi zinapakia,tukakata ticket,tukakaa kuusubiri gari .
Sasa gari imefika,Suma akazuia kupanda..akaingiza watu wake wachache pale akaruhusu gari liondoke.
Sasa tukauliza kwani hilo haliendi Mbezi??anasema niliwaambia watu wanienda Mbezi wakae mlangoni pale,nyie kwanini mlikaa kwenye vitu..Hapo ni saa 3 usiku na gari ndio zinaishia
AlooošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚,ukisikia Cha moto ndio kile yule kaka alikipata.
Sasa ulitaka tukae wapi?na kama gari hakuna kwanini mlitukatia ticket..akawa anajibu Kwa jeuri,
Kuna mama akawasha moto,tukaunga wote ..zodoa yule Suma.
Tukamwambia tusipopanda gari hapa tunakupeleka polisi Leo,usituchezee.
Akaanza ooh tulieni napiga simu gari like,kama hamtulii sipigi mkae hapahapa..tukamwambia tunawasomba wote ndani leo ukianzia wewe..hamuwezi mkachukua Hela zetu halafu mtukalishe hapa.
Yaani Hadi gari inafika watu wanamzodoa yule kaka pale.
 
Back
Top Bottom