Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,922
- 147,716
Loooh kumbe bado dogo eeeh[emoji23]
Itafika kipindi utakuwa haugopi nakuambia.
Loooh kumbe bado dogo eeeh[emoji23]
Aisee wewe umesha kuwa mzoefuLoooh kumbe bado dogo eeeh[emoji23]
Itafika kipindi utakuwa haugopi nakuambia.
Loooh nipo na mama hapanapita hivi kapiga jicho kaona hii picha,
Yeah najiona tu kwasasa hakuna ninachoogopa wallah,
Basi utakuwa mwalimu wangu mzuriYeah najiona tu kwasasa hakuna ninachoogopa wallah,
Ukipitia tu misuko flani hivi hakuna kitakachokuogopesha,
Unaambiwa pita mtizame unaemtafuta[emoji23]
AiseeUnaambiwa pita mtizame unaemtafuta[emoji23]
Unavutiwa drop,oooh sio huyu, haya tizama chini hapo[emoji16]
Hainaga ticha,
Sawa mamieHainaga ticha,
Muda ndiyo ticha og[emoji16]
Yeah nilikuwaga naogopaga hatariii,
Inapatikana wapi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] senior manager
D ushawah kunywa hii chai? Ni tamuuu[emoji39]View attachment 2327478
Nilikuwa naenda churchMchumba unaingia au unatoka Dar?
Kama kawaida yangu😊Uwahi kufika au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
njoo utoe dislike yako 😕Twendeni kwa mkapa ngoja niwahi vigoma pale nje
SIMBA INACHEZA LEO TANZANIA NA AFRIKA NZIMA MPKA CAF WANAFURAHA [emoji23][emoji23]
seat ya mbele nzuri sanaKama kawaida yangu😊
NdiyoMarahaba nkamu
Uko poa?
Na mimi huwa sipendi zile purukushaniseat ya mbele nzuri sana
hakuna disturbances wala nini
pembeni ya dereva safi kabisa.