Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,960
- 136,790
Unaogopa U T IMm nipo single magonjwa ya ajabu ajabu siyawezi![]()

Unaogopa U T IMm nipo single magonjwa ya ajabu ajabu siyawezi![]()

Mambo ya kukojoa usaha sitak ukivaa jeans tu utatembea kama umetoka kutahiriwaUnaogopa U T I![]()




Aisee j2 yangu itakua poa tu ujue ww ni mzur sana
Maji ya maiti unayo?
Ukikojoa usaha ni ugonjwa gani?Mambo ya kukojoa usaha sitak ukivaa jeans tu utatembea kama umetoka kutahiriwa![]()
Muhimu sana kwa mvuvi
Huyu ndyo mwanamke sasa afu anaonekana haombi hata hela
Mbona gafla Ila ww utakua mtabiri kwenye mambo ya morning gloryWanaselfika bado hamjatoka kanisani jamanii au ndio mnamalizia kuchakatana na morning glory! Amkenii![]()





Huo ni uchafu. Inaweza kuwa maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi, ili kujua tatizo nini hasa wahi kituo cha afya kilicho karibu yako. Usifanye ku assume mambo ya afya, magonjwa ni mengi dunianiHayo mambo nenda kwa National Anthem na Alexprosper
Carrasco putin good morning bachelor how was your night?Mbona gafla Ila ww utakua mtabiri kwenye mambo ya morning glory![]()
mimi sijamaanisha hivyo nilikuwa naelezea jinsi mahusiano yalivyo stressful
Ooooh. Ushawahi umwa U TI ?Hayo mambo nenda kwa National Anthem na Alexprosper
hahahaUjue nimecheka sana![]()