kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,131
- 3,068
Mimi nataka kupindua mezaJimbo lina mbungeeee tayariiiiii, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mimi nataka kupindua mezaJimbo lina mbungeeee tayariiiiii, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mmmh!! Hata karibu?Karibu mdogo wangu View attachment 2360956
Kwani hujala kwako/ kwenu 😂😂Mmmh!! Hata karibu?
Mtakaa meza ya pekeyenuUmenikumbusha mbali 😂😂
Siku zetu hazikawii kuishaKaa nami ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke yangu kaa nami
Siku zetu hazikawii kuisha
Siioni lakunifirahisha
View attachment 2360996
Bado sijabeba tena yale maputo kwenda nayo beach.😁😁😁😁
Pilau ina sehemu yake special tumboni hata kama umekulaKwani hujala kwako/ kwenu 😂😂
Acha ulaku 😂🤣🤣Pilau ina sehemu yake special tumboni hata kama umekula
Kumbe nafaa kuwa mchungaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe anatupiga changa la macho Grahams unazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mzee hapo
Mwenyekiti wetu ni Ntuyadili
HongeraHivi kwann ukipost kitu kama unatumia inifinix na tecno humu JF ndyo zinaonekana kwamba huyu anatumia hii simu sijapenda bora mm natumia pc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza uchawi ww kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ambao simu zao hazioneshi sijui wa itel [emoji23][emoji23]Umeanza uchawi ww kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindwe ambao simu hazionyeshi tunatumia iPhone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] ambao simu zao hazioneshi sijui wa itel [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iPhone pro maxUshindwe ambao simu hazionyeshi tunatumia iPhone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
IPhone 18 made in makumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iPhone pro max
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Unanunua simu imesha shikwasikwa na mikono ya wabongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwasha ina history za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ilikuwa ndani ya box au nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IPhone 18 made in makumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]