Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ndo nimemaliza kusuka sasqPole sana afu Leo nilikuwa mitaa ya kisutu huko
nitakuja kunyoa muda wote huu nimekaa nasuka
ndo nimemaliza kusuka sasqPole sana afu Leo nilikuwa mitaa ya kisutu huko
kweli dear nimeanzaa saa kumi had saa nne ndo zimeishaHizo biashara za kukaa masaa na masaa kusuka zishanishinda.
Nasuka zangu nywele za mkono dkika 15 ,20 nishamaliza.
Yuuuuuh oledeeeeeee???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok I'm waiting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wow umekuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] faraja ya [emoji173]Yuuuuuh oledeeeeeee???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jimbo lina mbungeeee tayariiiiii, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wambieni wambienii[emoji91]
Wapunguze kampenii Jimbo lishachululiwa[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Wallah naapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekua pastor??? Nambie uko kanisa ya location ipi nije kuabudu na kusujudu.kwa jina la yesu huyo pepo mchafu aliyekuingilia kinyume na matakwa/fikra atoke saa hii ndan ya mwili wako,Pepo toroka tafadhar
HayaJimbo lina mbungeeee tayariiiiii, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Halafu leo una joto[emoji1787][emoji2089][emoji2089]N
Nianze tu[emoji16]
Aiseekweli dear nimeanzaa saa kumi had saa nne ndo zimeisha
knotless ndo nimesuka leo
SanaHalafu leo una joto[emoji1787][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutagombana kisa nn sasa? Bado sanaaaaa.Mkigomba sie hatumo [emoji1783][emoji1783]
Nipo nai....... World.
kikomwe kimenibebaAisee
Mna moyo😂🙌
Tuone kapicha
Ntajie loc, nikirud dar nije kuvegela hapooo.Depal njoo tupunguze kitambiView attachment 2358780
NakupigiaSana
Hadi kamanda anajua
[emoji170][emoji170][emoji170] [emoji305][emoji305]Weekend [emoji328]View attachment 2358836
Kabisa