National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Nime kaelewa sana beat lake, la mida ya jioni kabla vijana wenye vurugu zao hawajaingiaNational Anthem nyingine ya leo hii, Amapiano.
Nime kaelewa sana beat lake, la mida ya jioni kabla vijana wenye vurugu zao hawajaingiaNational Anthem nyingine ya leo hii, Amapiano.
Kuna ngoma yake hii huwa nayo naielewaa.. Hata show zake huwa anachangamkaaa 🤠🤠🤠National Anthem hii imetoka leo.....View attachment 2358954
Uzi upi 🤣🤣🤣🤣 Me siku hizi nashinda International Forums na Intelijensia. 🤣🤣🤣
Tupo na wapenzi wetu
Usiku mwema 🤠🤠🤠 acha tule raha hapa
Uzi upi 🤣🤣🤣🤣 Me siku hizi nashinda International Forums na Intelijensia. 🤣🤣🤣
Bwana tupe faraja💔😂
Upo fast learner hadi raha. 👏👏👏👏👏Huko ulimwelekeza mtu kufanya hivi
Singo wote wauwawe
Nilikusoma kwa umakini 🤸♂️Upo fast learner hadi raha. 👏👏👏👏👏
Aje akuokoe maana kesho singo wanaangamizwaAje chapu nipo Single kwa ajili yake Zesh malkia mrembo haswa wa jf njoo huku mrembo uliye tukuka kulko wanawake wote wa jf njoo basi nipate furaha ya moyo wangu
Pole sana afu Leo nilikuwa mitaa ya kisutu hukonipo nasuka
hadi nimechoka my king
niletee juice
Tunachagua badoSingo wote wauwawe
Mna matatizo gani?watu wote hawa waliojaa duniani hamjawaona?