Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Akisha kutag?itapendeza.ukiweka hata hy. Na uki ni tag
Akisha kutag?itapendeza.ukiweka hata hy. Na uki ni tag
UnidipUsijali, hapa nasubiri Kanzu yangu ikauke niselfike manake Jana nilifedheheka sana kwenye Ile Jeans niliyovaa![]()
Sender does not support repliesNifanye aje hapa?
Nataka kuwajibu CRDB kuwa Sina madai
Wamezidi kiherehere Cha kunitumia meseji
😂😂😂😂 watapumzika kuzimuWapumzisheni hao wababu mnawatumia kama emoj za kuzibia sura
Tajiri wa roho yuleBoss wetu hashindwi na jambo.
Alivyo na roho nzuri ataweka mbona.
Kwahiyo ndio ukaona uweke hyo sticker 😂😂😂
Carrasco akasome🤣🤣🤣🤣Samaleko pacha wa Carrasco putin 🤣
Emoj ni jf tu 🤣🤣Kwahiyo ndio ukaona uweke hyo sticker 😂😂😂
Kitambi kileeeeeee umekibana
Yaani hiyo sticker ni hua inanichekeshaaEmoj ni jf tu 🤣🤣
Wasap yangu ina stika tu
Hapo nimekaa
Na me sina kitambi
Dada shughulika na kitambi chako huko
We Wigelekelo kumbe ulikuwa unang'ang'ana na namba yangu ili uniringishie sauti eeeh?acha uchokozi basi
Katika sehemu siji kucheza na mwili wangu kuupeleka basi ni humo mabwawani.
Kama kawaida yakeTajiri wa roho yule
Hahahaa kwaniniKatika sehemu siji kucheza na mwili wangu kuupeleka basi ni humo mabwawani.
Jana wamenitumia hiyo msg Yao imeandikwa namba nambaSender does not support replies
Nicheze na maji?Hahahaa kwanini
Huko huzami, unacheza mahali penye level ya maji unayoyamudu.
Au hupendi tu maji
Wote hawa mimi nimewapiga msasaCarrasco akasome🤣🤣🤣🤣