Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Depal
🎼 🎧
We umekuwa sindano mi pulizo
Mi mfanyakazi bora we likizo
Eti mimi ni mfano wa shati we kishikizo
Ushagundua nakupenda mama isiwe tatizo

Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nipe vyanda vya kutosha
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nimeganda vya kutosha

Mi nakupenda ndo maana ng’ang’ania
True love na sio bandia
Upole kama wa ngamia
Kila nanusuru roho yangu
Ukiniambia nipike ntakupikia
Cause najua mahaba
Nakumbukaga kamchezo kale
Ka kula nibakishie Baba
Tena unanimalizaga ule mchezo wa kibabababa
Raha ninazo zipata kumbe , Kwa ex wangu nilivaba
Kwa exi ulivaba 🤣🤣🤣🤣😂😂

Yan hizo nyimbo zako mie hata sijawahi kuzisikia
 
Wanajali bana

Me mshua nilivyomwambiaga kuhusu Arusha akaanza na kusema Arusha mbali hamna kwenda.

Bado hata hujaanza kupauka , kaa hapa tafuta kazi Dar.
Nililiaaa 😭😭😭 hadi nikaruhusiwa ile ya kiroho safi
Wanajali eeh?
Njoo tubadilishane Kwa muda uone kama utaweza kuvumilia😂
 
Sijawahi aiseee 🤣🤣🤣

Labda wakati nafanya intern
Kuna Halmashauri nililazimishwa nikajitolee nilipo maliza tu.
Nilikuwa napewa nauli na hela ya kula mchana.. nazibahiliaa

Nilipopata first chance tu Arusha ndio mazimaaa
Huku gaharama za maisha zipo juu.
Yawezekana Hela ni nzuri ila gharama zinakuwa kuu kuzidi hela.
 
IMG-20220916-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom