Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mliachana alikuacha?Ujue JF nzima sijaona mzur kama ww binti umeumbwa ukaumbika uliumbwa siku ya pekee ako mzur kuliko mke wangu tuliyeachana
Mliachana alikuacha?Ujue JF nzima sijaona mzur kama ww binti umeumbwa ukaumbika uliumbwa siku ya pekee ako mzur kuliko mke wangu tuliyeachana
Ngoja nikirudi nyumbani ntatupia kitu hapa maana cjawah ona mrembo kama wewe hpa selfika 😘 umenidatisha.Basi nikajua nduguyo maana kuna vitu mmefanana.
Selfika basi nawe nikuone nafsi yangu isikie burudani
Tena ufanye unipeee kabisaaa, nikirudi huko ntatembeza ngwadu zangu hadi locs zijute kufahamika na mie.Somewhere Masaki
Ukirud tu unicheki nikupe direction![]()







😍😍😍😍 Nmekuja Ila thathaa kapicha kapya Sina babe love, sweetie, nyonga mkalia inisophy27 popote ulipo naomba uje uselfike.
Lovelovie naomba uje unibless na liselfie la ukweeehh!
Lenie mamaa wa miguu ya bia mwenye marashi ya karufuu fanya kudondosha hata kibeby face chako nikuone.
mawardat it's been a long time ebu fanya namna.
cocastic miss songea hebu tupia kijora tukuone.
Lizzy madame asiye na kitambi mpole na busara nyingi tukuone basi mkono turidhike.
Kelsea mtoto chocolate 🍫 colour homa ya sekfika pita basi hata kama upepo.
reymage mamaa wa mujini mwenye tashtiti zake shusha vitu hivyoo tuinjoy
Nuzulati mfanyabiashara maarufu wa town mama wa laki si pesa shusha hilo selfie 🤳
Heaven Sent hello 👋
Alayna beautiful dimpoz maarabu ya Pemba
Tinsley cha upole wetu selfie yako ni muhimu
Au siyo hunijui National Anthem njoo uone nimekanwa huku




Aina gan ya pcnatumia pc ,sina simu
Unapenda swimming?Tena ufanye unipeee kabisaaa, nikirudi huko ntatembeza ngwadu zangu hadi locs zijute kufahamika na mie.
![]()
Itabidi ukasafishe nyota baharini ndio usiachwe tena🤣🤣Mm wakuacha mtu mm huwa naachwa![]()
Unapenda swimming?
Nitakupa kiwanja kizuri






nlimdharirisha mtu huko swimming, naogopaaaa labda nizurure pembezoni mwa swimming pools.Ulifanyaje?😅nlimdharirisha mtu huko swimming, naogopaaaa labda nizurure pembezoni mwa swimming pools.
We usitutanie wewe mtotoMtoto wa mama mkwe, kanikatazaaa umbeaaaaa.
Naogopa kumkwazaaaaa, ndo nnae huyu huyu m1 tyuuh.
![]()
Cool 😎 wapi leo unaponda mali mama la mama!Nlikumic pia brother..
siku Yangu ilikua vzuri Namshukuru Mungu..... sijajua ww
Siku ntakayoingiza miguu yangu kwenye maji, nywele zote zinasimamaUlifanyaje?😅
Me napenda
Au ukae uingize miguu kwenye maji uchezee tu naskia raha
toshibaAina gan ya pc
ndio naenda huku nimesukaKanisan unaenda umesuka hvyo![]()