Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushawahi kufanya kazi halafu hata nauli unaishiwa?
Kazi inakunyonya tu damu.
Sijawahi aiseee 🤣🤣🤣

Labda wakati nafanya intern
Kuna Halmashauri nililazimishwa nikajitolee nilipo maliza tu.
Nilikuwa napewa nauli na hela ya kula mchana.. nazibahiliaa

Nilipopata first chance tu Arusha ndio mazimaaa
 
Depal
🎼 🎧
We umekuwa sindano mi pulizo
Mi mfanyakazi bora we likizo
Eti mimi ni mfano wa shati we kishikizo
Ushagundua nakupenda mama isiwe tatizo

Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nipe vyanda vya kutosha
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nimeganda vya kutosha

Mi nakupenda ndo maana ng’ang’ania
True love na sio bandia
Upole kama wa ngamia
Kila nanusuru roho yangu
Ukiniambia nipike ntakupikia
Cause najua mahaba
Nakumbukaga kamchezo kale
Ka kula nibakishie Baba
Tena unanimalizaga ule mchezo wa kibabababa
Raha ninazo zipata kumbe , Kwa ex wangu nilivaba
 
😂
Ukae mbali halafu hata usalama wako hawajali...utoke usiku wa manane.
Mwishowe panyaroad wakupitie.
Wanajali bana

Me mshua nilivyomwambiaga kuhusu Arusha akaanza na kusema Arusha mbali hamna kwenda.

Bado hata hujaanza kupauka , kaa hapa tafuta kazi Dar.
Nililiaaa 😭😭😭 hadi nikaruhusiwa ile ya kiroho safi
 
Back
Top Bottom