AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Nimegonga ginger ale kreti 3Hii Inglishi Ras simba ameithibitisha kweli??
Au umeshatupia Kvant kadhaa??🤣
Wambieni wambienii🔥Ndyooooooh
Umenikumbusha niliachaga kazi mahala sababu nilichoka hivyo hivyo af hela siioniNdio biashara zilizonishinda hizi😂
Kila siku nafanya mazoezi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani
Na hakuna ninachopata.
Boss lady mbona leo mmenipania hivi?? 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe na Anne wako hamfai hata kidogoWeee kumbeee!! Sijawahi ona selfii yake mbereee kwa katiiiii hebu muite atupie reo nimuoneee mr Vocha aseee!!
Kikubwa uhai sweetheartHii Inglishi Ras simba ameithibitisha kweli??
Au umeshatupia Kvant kadhaa??🤣
Sema kweli??nyie mapenziiiiii matraaaaaamuuuuu, msiseme hamjui hilo.
NamuombaNimetulia hapa tunakula neno mdogo mdogo.. Anabadilisha mapozi tu.. Maisha ndio haya haya.. Viumbe wanatupa furaha safi isiyo na stressView attachment 2358546
Ukipiga hesabu unaona bora hata ukauze barafu.Umenikumbusha niliachaga kazi mahala sababu nilichoka hivyo hivyo af hela siioni
Sema nilikua na sehemu nyingine naitegemea kuniingizia dolari ndio ilinipa jeuri.
Badae nilivyopata nguvu tena nikatafuta pengine 😂😂
Hebu selfika namie nikuonepoo mr Vocha usintanieee..... sio kwa masifa yote hayoooo unayomwagiwa na Anne mbona nimepitwaa waliii tupiaaaaa thelfiii tupia thelfiiiBoss lady mbona leo mmenipania hivi?? 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe na Anne wako hamfai hata kidogo
Ushawahi kufanya kazi halafu hata nauli unaishiwa?Ghaiiii me siwezi
Napenda hela sana.. nachukiaga kuishiwa sana 😭
Na pia sina mambo mengi
Kazi hazinichoshi sana
Unakua unatumia energy and resource nyingi zaidi compared na unachoingizaUkipiga hesabu unaona bora hata ukauze barafu.
Mimi hakuna sehemu yoyote iliyonitia jeuri ila nikiondoka...
Ikafika siku yaani I was tired to the extent I can't work anymore.
Halafu sijui kwanini watu wengi tunaovaa miwani tuna macho mazuri.Hebu selfika namie nikuonepoo mr Vocha usintanieee..... sio kwa masifa yote hayoooo unayomwagiwa na Anne mbona nimepitwaa waliii tupiaaaaa thelfiii tupia thelfiii
Duh!! Bora mimi mkulima aisee....Ushawahi kufanya kazi halafu hata nauli unaishiwa?
Kazi inakunyonya tu damu.
Acha tu😂Unakua unatumia energy and resource nyingi zaidi compared na unachoingiza
Unasonga zako mbele kwa imani
Hata mimi mkulima jirani.Duh!! Bora mimi mkulima aisee....
Jirani nitafutie na mimi shamba huko nije nilimeDuh!! Bora mimi mkulima aisee....
Afadhali jirani....Hata mimi mkulima jirani.
Naona bora napata chochote.
Amesema tusubiliMie tyu nawayawayaa walaiii bado cocastic tyu kushusha verses hapaa !![]()