Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Midomo inatukauka vocha wanachukua wengineJana ubao umesoma bila bila Airtel![]()

PigaNikupigie![]()
Mwaka huu wataachika sana tu😁Midomo inatukauka vocha wanachukua wengine![]()
Aaaah nilishaselfika zamani humuhamna risiti?

ChiefAnachepuka eehbasi hafai
Weeeh acha ubahiliNyie wife material huyu hapa 2000 tu anasuka nywele njoo jaman mlete mthungu

UmechepukaSi wanajiendekeza tu
Halafu uwakute sasa hao wanaume wanaomjadili dada aliyechepuka!
Ni malaya wa kupindukia![]()

Nianze tu😁Umechepuka![]()
📷sophy27 popote ulipo naomba uje uselfike.
Lovelovie naomba uje unibless na liselfie la ukweeehh!
Lenie mamaa wa miguu ya bia mwenye marashi ya karufuu fanya kudondosha hata kibeby face chako nikuone.
mawardat it's been a long time ebu fanya namna.
cocastic miss songea hebu tupia kijora tukuone.
Lizzy madame asiye na kitambi mpole na busara nyingi tukuone basi mkono turidhike.
Kelsea mtoto chocolate 🍫 colour homa ya sekfika pita basi hata kama upepo.
reymage mamaa wa mujini mwenye tashtiti zake shusha vitu hivyoo tuinjoy
Nuzulati mfanyabiashara maarufu wa town mama wa laki si pesa shusha hilo selfie 🤳
Heaven Sent hello 👋
Alayna beautiful dimpoz maarabu ya Pemba
Tinsley cha upole wetu selfie yako ni muhimu
Yakwako we iko wapi?😏sophy27 popote ulipo naomba uje uselfike.

😘❤️ Asantee Lenie i gat no words to describe you, a perfect body and a beautiful face! Shape lenye curve yaani umbo namba 8 alafu huna kitambi, jeans imekuenea sio kama hao wengine wakivaa utasema wamepiga mlegezo. Wow just wow amazing grace. Mikono kwanza haina sugu utasema umetoka nyumba ya kifalme. I appreciate your beauty indeed. Acha nikusifu tuu your such a joy and cherish to have you. Mwaaaaah lots of kisses 😘 Lenie