Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niwacheeeeeeeeeh kwan, kuna mtu alikua ananiimbia "simuachi" by Jux.

Weuweeeeeeeeeee!!! Kupendwaaaaaa rahaaaa afu ile ya dhati sasa, had mwenyewe naogopa na kujistukia.

Utasikia "uko na mimi wee kuwa huru na kuwa utakavyo tunaishi mara 1 tyuuuh". Nyieeeee mniacheeeeeee mie hizo sio shida zanguuu.


[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Unaturingishia ehh Ntiluseswa njoo hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
Weeee shost hilo limama lipo hapahapaa sekfikaaa????? Tunachat nalooo tunacheka naloooo kila leooo??? Mbona hatareeeeeeee!!!
 
Nini tukifanya kinatibua furaha zenu?
Harafu jukumu la kupenda liko kwa mwanaume sio kwa mwanamke kwanza kupenda ni nini kupenda mtu ni kutenda mema pasipo kutarajia chochote kutoka kwa mtendewa ukiwa unampenda mtu haitakiwi utarajie chochote kutoka kwake mwanaume anatarajia ridhaa tu kutoka kwa mwanamke sio chochote
 
Mnatuchukuliaje watu wa Tecno jamani[emoji23][emoji174]
Infinix wamama?akiyanani.. Kumbe nilikuwa mama.


Ila katika simu zote,Itel hata bure sichukui.
Usiombe Uwe na mahusiano na mtu anayetumia tecno afu awe msukuma au muha sasa utajuta [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Hapo kwanza inatakiwa ujue no one is perfect as unamuona John chapombe ila wewe hujioni kama ni mvivu au una tabia zingine za ajabu.

Navyoona ni vema ukawa na yule ambaye changamoto zake unaweza kuzibeba mkakaa mkaongea kila mtu akamuweka wazi mwenzake madhaifu yake then maisha yanasonga.

Maana tukisema tutafute yule ambaye ni full package (tall, dark, handsome, romantic, ananukia vizuri 😛 bila kusahau acc imetuna hana stress za tozo😅) alooo utajikuta kila mtu unamuona hafai sasa mwisho wa siku unaamua tu liwalo na liwe.
👍👍
 
cocastic shoss akee naona umenidindiaaaaaaaaaa!! Nimesubiria ubuyu mpaka basiiiiii naenda kurara mieeee!!
Uwe na Usiku mwema shoste akee[emoji3577][emoji3577]!!
Saint Anne na wapendwa Wengine pia enjoy your time [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu kanikatazaaa umbea, cha ajabu sasa umbea unanifata wenyewee na una nitiiiii.

Tulia kwanzaaaaaa.
 
Back
Top Bottom