Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,526
- 235,267
Si wanajiendekeza tuJamani nina swaliii
Mkishiba chai mje tujadili..
Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.
Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya 😂😂
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?
Mjee Mseme both Me & Ke
Halafu uwakute sasa hao wanaume wanaomjadili dada aliyechepuka!
Ni malaya wa kupindukia 😁