Nikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,








Likajifanya kuja na ID ake ingnee, afu kumbe mie naijua had anawarubuni watu wengne, na mchapo niliupata kwa, m1 wapo aliyedinyana nae,






kaja anajifanya kutaka kuni ovetake mie namchora tyuuh hapo, huku najifanya km naingia kwenye 18 zake, baadae akaanza kuni diss nkamuumbua pale pale nkataja na ID ake ya 3, alikua mdogo km priton, uwiiiiiiiih
Na nkamchana aje na ID yake aliyojiunga 2013 ambayo ndo inafahamika mnooooo, sio hizi za 2016 na 2018. Weraaaaaaaaaaaaaaaah, hakuna ingizo jipyaa hapaaaa,
Epuka kuyakanyaga.





