Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani nina swaliii

Mkishiba chai mje tujadili..

Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.

Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?

Mjee Mseme both Me & Ke
Hako kaswali kana kitu behind
 
Mwanamke hachagui... Anaenda na yoyote aliye tayari
 
Jamani nina swaliii

Mkishiba chai mje tujadili..

Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.

Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya 😂😂
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?

Mjee Mseme both Me & Ke
Didi ake imekuaje hadi ukauliza hivyo?

Anyway ukiacha jamii, wanaume ni wabinafsi by nature.
Mfano mzuri hata humu jukwaani ukipitia nyuzi nying utaona wengi wanasupport mwanamke akicheat basi atimuliwe aachwe ila kwa mwanaume akifanya the same wenyewe wanajitetea kwamba ni nature yao so tuwavumilie. Very selfish creatures
 
Ndo nature ilivyo
 
Kuhusu chaguzi hapo ni kila mtu anatakiwa awe na uchaguzi sema sasa jinsi unavyofanya chaguzi zako ndio kipengele.
Tuelekeze namna nzuri ya kufanya chaguzi?

Nina Juma namuona sio mtulivu nasepa

Naenda kwa Sadiki, naona ni wale wazee wa ngumi mkononi nasepa kwa kuogopa kesho na kesho kutwa atakuja kunivunja mguu kwa kipigo.
Nb: kuna wanaume ni wapigaji by nature, ye hata ukiangusha kijiko atakufokea ili umjibu akubonde.

Naenda kwa John nakuta hakidhi haja zangu zingine, naboreka nasepa

Sikilizia venye jamii itaniwakia 😂😂😂
 
Sikilizia venye jamii itaniwakia
Vipi tukuchagulie nasikia uko single
 
Ahh
IMG-20220916-WA0064.jpg
 
Jamani nina swaliii

Mkishiba chai mje tujadili..

Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.

Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya 😂😂
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?

Mjee Mseme both Me & Ke
Wewe.....
 
Tuelekeze namna nzuri ya kufanya chaguzi?

Nina Juma namuona sio mtulivu nasepa

Naenda kwa Sadiki, naona ni wale wazee wa ngumi mkononi nasepa kwa kuogopa kesho na kesho kutwa atakuja kunivunja mguu kwa kipigo.
Nb: kuna wanaume ni wapigaji by nature, ye hata ukiangusha kijiko atakufokea ili umjibu akubonde.

Naenda kwa John nakuta hakidhi haja zangu zingine, naboreka nasepa

Sikilizia venye jamii itaniwakia 😂😂😂
Hapo kwanza inatakiwa ujue no one is perfect as unamuona John chapombe ila wewe hujioni kama ni mvivu au una tabia zingine za ajabu.

Navyoona ni vema ukawa na yule ambaye changamoto zake unaweza kuzibeba mkakaa mkaongea kila mtu akamuweka wazi mwenzake madhaifu yake then maisha yanasonga.

Maana tukisema tutafute yule ambaye ni full package (tall, dark, handsome, romantic, ananukia vizuri 😛 bila kusahau acc imetuna hana stress za tozo😅) alooo utajikuta kila mtu unamuona hafai sasa mwisho wa siku unaamua tu liwalo na liwe.
 
Hapo kwanza inatakiwa ujue no one is perfect as unamuona John chapombe ila wewe hujioni kama ni mvivu au una tabia zingine za ajabu.

Navyoona ni vema ukawa na yule ambaye changamoto zake unaweza kuzibeba mkakaa mkaongea kila mtu akamuweka wazi mwenzake madhaifu yake then maisha yanasonga.

Maana tukisema tutafute yule ambaye ni full package (tall, dark, handsome, romantic, ananukia vizuri bila kusahau acc imetuna hana stress za tozo) alooo utajikuta kila mtu unamuona hafai sasa mwisho wa siku unaamua tu liwalo na liwe.
Unaamua kujilipua
 
Back
Top Bottom