Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikuchekeshe Sasa; Siku moja Sina hili Wala lile nikaingia zangu selfika Kama kawaida Kuna mdau akaniomba niweke picha,nikaona isiwe kesi nikatupia..mara naona I'd Antonnia na ka avatar fulani ka mdada amazing,km kawaida I'd ikaanza kumwaga sifa kedekede na mwandiko wa Antonnia so unaujua anavyotia mbwbwe nikasema kwa sifa hizi za ingizo jipya mbona Kama nataka kujiokotea embe kwenye mfenesi hahahaha

nikaanza kujichangamsha nikijichekesha napiga ndogondogo ili aingie kingi vizuri iwe Kama nampiga teke mlevi ,alafu Kuna wahuni wakawa wananijaza Sana wengine wanampanga ooh mkubali mwana,km ujuavyo mkiwa mnachati humu ndani utani mwingi..Cha ajabu Antonnia ananiambia acha hizo satoh,Mimi Sina haja na wanaume wa jf Sasa hivi,nikasema eboo kwani mbn Kama nachati na mwenye mji wake humu..nikaklick username nakuta I'd ilikuwepo tangu 2013 nikacheka Sana na kujiona fala

Ila bado nikajiuliza huyu Ni Nani Sasa,nikaanza kutrace history ya alimopita nikakuta mtu kamquote siku kadhaa huko nyuma na jina linasoma mahondaw nikazidi kunyong'onyea hahahah nikasema jf unaweza kumtongoza ndugu yako hivihivi asee,Mimi wa kumwimbisha mahondaw Antonnia kweli??..Ghafla paap nikabadili mwelekeo wa stori kumbe nishamjua tyr na yeye nadhani alijua nafanya utani tu kumbe I'd mpya ili nichanganya kiukweli..nikajiona fala
wengine wanakuja na ID mpya PM, huwa nawaumbuaga kabisaaaaa,
 
Back
Top Bottom