Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Ningekua sijatulia nisingeweza kuwataja hadharani hivyo maana ningeogopa michepuko 😂😂Hautulii kwenye mahusiano ndyo maana upo kwa National Anthem mara Mjep
Hata hao wenyewe wanajua nimetulia sana ndio maana wananipenda