Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimenotice kitu Lenie atm haina government levy
Nimetoa mia 4
Nikarudia mia 1

Naona nimekatwa tu efu 3


Ila vya jana sitaki kukumbuka
Ndani kwa teller na kwa wakala sirudii kutoa hela
Kuna mtu aliniambia kwa teller makato ni makubwa zaidi kuliko ATM baada ya kumlalamikia.
Hapo dawa ni kuwakimbia mawakala, labda uwe unaihitaji wa uharaka
 
Lizzy 🤠🤠
Screenshot_20220915_163606_com.google.android.youtube_edit_85678279851509.jpg
 
Back
Top Bottom