Nikuchekeshe Sasa; Siku moja Sina hili Wala lile nikaingia zangu selfika Kama kawaida Kuna mdau akaniomba niweke picha,nikaona isiwe kesi nikatupia..mara naona I'd Antonnia na ka avatar fulani ka mdada amazing,km kawaida I'd ikaanza kumwaga sifa kedekede na mwandiko wa Antonnia so unaujua anavyotia mbwbwe😅 nikasema kwa sifa hizi za ingizo jipya mbona Kama nataka kujiokotea embe kwenye mfenesi hahahahaAlivyojaribu tu kubadili Jina,Jina lake likachukuliwa na mtu mwingine😂
Kuja kurudisha ikashindikana.
Umepata
Nimekaa hapo.. Hiyo 37 utafika huku unatambaaa na ulimi nje 🤠🤠🤠🤠 mtoto mzuri kama wewe hutakiwa kuwa na stress za mapenzi.. Una opt kibao yani ng'ombe kabisaNimefika 37 na sijachoka snaa
Naendelea kuchoshwaa
Mitano tena kwa mapenziii
Mind youuuDepal National Anthem
Kwa leo nimemalizana na mambo ya mapenzi, wacha sasa nikatafute pilau nile nishibe then nihamie jukwaa la siasa niilaumu serikali
Nyonyoma 🤣🤣Nimekaa hapo.. Hiyo 37 utafika huku unatambaaa na ulimi nje 🤠🤠🤠🤠 mtoto mzuri kama wewe hutakiwa kuwa na stress za mapenzi.. Una opt kibao yani ng'ombe kabisa
Sweetheart, I love you 😍 kwa moyo wangu wote.. Msalimke mtoto wangu kipenzi muambie baba yupo njiani anakuja.. Lini tufanye party ya kutimiza miaka miwili 😘😘Mind youuu
All of the chats was chitchats na majadiliano ya kujengana…
Ukijikonekti na shida zako inakula kwako 😂😂😂
Me mwenyewe narudi kwenye ile kazi uliyonistopisha huku Nasubiria National Anthem aninunulie nyonyoma wake wali na mchicha
Alamsikiiii
Ngoja nimpigie simu babe wangu
Ila kuweni makini na mapendhii 😭
Acha nije kwanza nitakuonesha 🤠🤠🤠 itabidi tusake mtoto nwingine kwanza sweetieNyonyoma 🤣🤣
Nina opt zipi jamani? Mbona sizioni
nishasonga .. hapa najichatishaDah😂😂😂😂
Watu wajinga.
Songa Mbele kama injili.
Nimesoma aya kwa 1 na 2 kwanza ebu nicheke mie bwahaahaha ! Nilionaa unavotaka kuingiaa nilionaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Nikuchekeshe Sasa; Siku moja Sina hili Wala lile nikaingia zangu selfika Kama kawaida Kuna mdau akaniomba niweke picha,nikaona isiwe kesi nikatupia..mara naona I'd Antonnia na ka avatar fulani ka mdada amazing,km kawaida I'd ikaanza kumwaga sifa kedekede na mwandiko wa Antonnia so unaujua anavyotia mbwbwe😅 nikasema kwa sifa hizi za ingizo jipya mbona Kama nataka kujiokotea embe kwenye mfenesi hahahaha
nikaanza kujichangamsha nikijichekesha napiga ndogondogo ili aingie kingi vizuri iwe Kama nampiga teke mlevi ,alafu Kuna wahuni wakawa wananijaza Sana wengine wanampanga ooh mkubali mwana😅,km ujuavyo mkiwa mnachati humu ndani utani mwingi😅..Cha ajabu Antonnia ananiambia acha hizo satoh,Mimi Sina haja na wanaume wa jf Sasa hivi,nikasema eboo kwani mbn Kama nachati na mwenye mji wake humu..nikaklick username nakuta I'd ilikuwepo tangu 2013 nikacheka Sana na kujiona fala
Ila bado nikajiuliza huyu Ni Nani Sasa,nikaanza kutrace history ya alimopita nikakuta mtu kamquote siku kadhaa huko nyuma na jina linasoma mahondaw nikazidi kunyong'onyea hahahah nikasema jf unaweza kumtongoza ndugu yako hivihivi asee,Mimi wa kumwimbisha mahondaw Antonnia kweli??..Ghafla paap nikabadili mwelekeo wa stori kumbe nishamjua tyr na yeye nadhani alijua nafanya utani tu kumbe I'd mpya ili nichanganya kiukweli..nikajiona fala😅
Nimesikia na nimeweka kisa changu Cha kuchekesha..muwe mnasema mkibadili I'd basiKama umesikia hizo sio shida zanguuuu!! kutaka kujua what happened pia mie naona hayanihusuuuu!! Kila la kheri katika kupata hizo taarifa mkuu hakuna kabayaaa. Enjoy the News!!!

mimi silili sema nina vihasiraNilishapoa 😂😂 sahivi nikikumbuka najiona nilikuwa sina akili au nilikuwaje?
"Mwenye mji wake humuu"🤣🤣🤣🤣😂😂!!Nikuchekeshe Sasa; Siku moja Sina hili Wala lile nikaingia zangu selfika Kama kawaida Kuna mdau akaniomba niweke picha,nikaona isiwe kesi nikatupia..mara naona I'd Antonnia na ka avatar fulani ka mdada amazing,km kawaida I'd ikaanza kumwaga sifa kedekede na mwandiko wa Antonnia so unaujua anavyotia mbwbwe😅 nikasema kwa sifa hizi za ingizo jipya mbona Kama nataka kujiokotea embe kwenye mfenesi hahahaha
nikaanza kujichangamsha nikijichekesha napiga ndogondogo ili aingie kingi vizuri iwe Kama nampiga teke mlevi ,alafu Kuna wahuni wakawa wananijaza Sana wengine wanampanga ooh mkubali mwana😅,km ujuavyo mkiwa mnachati humu ndani utani mwingi😅..Cha ajabu Antonnia ananiambia acha hizo satoh,Mimi Sina haja na wanaume wa jf Sasa hivi,nikasema eboo kwani mbn Kama nachati na mwenye mji wake humu..nikaklick username nakuta I'd ilikuwepo tangu 2013 nikacheka Sana na kujiona fala
Ila bado nikajiuliza huyu Ni Nani Sasa,nikaanza kutrace history ya alimopita nikakuta mtu kamquote siku kadhaa huko nyuma na jina linasoma mahondaw nikazidi kunyong'onyea hahahah nikasema jf unaweza kumtongoza ndugu yako hivihivi asee,Mimi wa kumwimbisha mahondaw Antonnia kweli??..Ghafla paap nikabadili mwelekeo wa stori kumbe nishamjua tyr na yeye nadhani alijua nafanya utani tu kumbe I'd mpya ili nichanganya kiukweli..nikajiona fala😅
Last sentence 🤣🤣🤣Mind youuu
All of the chats was chitchats na majadiliano ya kujengana…
Ukijikonekti na shida zako inakula kwako 😂😂😂
Me mwenyewe narudi kwenye ile kazi uliyonistopisha huku Nasubiria National Anthem aninunulie nyonyoma wake wali na mchicha
Alamsikiiii
Ngoja nimpigie simu babe wangu
Ila kuweni makini na mapendhii 😭
Kata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damuKumbe Hujui naona Saint Anne ananijua vizuri muulize akupe hio story!!

Nimecheka kifalaNikuchekeshe Sasa; Siku moja Sina hili Wala lile nikaingia zangu selfika Kama kawaida Kuna mdau akaniomba niweke picha,nikaona isiwe kesi nikatupia..mara naona I'd Antonnia na ka avatar fulani ka mdada amazing,km kawaida I'd ikaanza kumwaga sifa kedekede na mwandiko wa Antonnia so unaujua anavyotia mbwbwe😅 nikasema kwa sifa hizi za ingizo jipya mbona Kama nataka kujiokotea embe kwenye mfenesi hahahaha
nikaanza kujichangamsha nikijichekesha napiga ndogondogo ili aingie kingi vizuri iwe Kama nampiga teke mlevi ,alafu Kuna wahuni wakawa wananijaza Sana wengine wanampanga ooh mkubali mwana😅,km ujuavyo mkiwa mnachati humu ndani utani mwingi😅..Cha ajabu Antonnia ananiambia acha hizo satoh,Mimi Sina haja na wanaume wa jf Sasa hivi,nikasema eboo kwani mbn Kama nachati na mwenye mji wake humu..nikaklick username nakuta I'd ilikuwepo tangu 2013 nikacheka Sana na kujiona fala
Ila bado nikajiuliza huyu Ni Nani Sasa,nikaanza kutrace history ya alimopita nikakuta mtu kamquote siku kadhaa huko nyuma na jina linasoma mahondaw nikazidi kunyong'onyea hahahah nikasema jf unaweza kumtongoza ndugu yako hivihivi asee,Mimi wa kumwimbisha mahondaw Antonnia kweli??..Ghafla paap nikabadili mwelekeo wa stori kumbe nishamjua tyr na yeye nadhani alijua nafanya utani tu kumbe I'd mpya ili nichanganya kiukweli..nikajiona fala😅
Wee usnambie id yangu ni famous humu😂😂Kata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damu
Hata Lenie Depal na Saint Anne hawapaswi kubadili majina maana I'd zao ni maarufu sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app