Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
NakaziaJf sehemu ya kufurahi na kupiga ma hadithi tu
NakaziaJf sehemu ya kufurahi na kupiga ma hadithi tu
Kho kho kho jeshiiiiKisirani ila mtamu hadi kisogoni, na ukipewa wakati mtu ana kisirani anakupa yote maana anakususia kabisa![]()

Nyota beste nyotaaaaa! Watu na nyota zetu za mikosiiii👌👌👌👌👌 cocastic nakusubiria jamaneee🤸🤸🤸💃💃🤗🤗🤗😛😛😛😛😛!!!Unajua kuna watu Ni maarufu sn humu mmoja wao ni huyo Antonnia kupitia ile I'd yake ya zamani.Na endapo ingekuwa jf unatambulika kwa email km Twitter Nina uhakika Kuna IDs maaraufu zingepata maparody,wahuni wangeweka avatar na username km wewe Kumbe parody,ila huku ukijaribu kujiita Satoh Hirosh unaambiwa 'this username has already taken' unajikuta huwezi kujiita Hilo jina
Huyo anttonia alifanya kosa kubwa sn kujaribisha kubadili ,mtu akatembea na hilo jina makusudi alfu katulia tuliii![]()
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sisemi uongo, watu hawajui. Hata ukitaka ufaidi muuzi mtu at the maximum point, ndio umlee utafaidi unasusiwa 🤠🤠Sema kweli
Huyo thief Atachanika msamba Satoh wee muache aige kunya kwa tembo tyu atachanika msambaa🤗🤗🤣🤣🤣😂😂!!🤭🤭Unajua kuna watu Ni maarufu sn humu mmoja wao ni huyo Antonnia kupitia ile I'd yake ya zamani.Na endapo ingekuwa jf unatambulika kwa email km Twitter Nina uhakika Kuna IDs maaraufu zingepata maparody,wahuni wangeweka avatar na username km wewe Kumbe parody,ila huku ukijaribu kujiita Satoh Hirosh unaambiwa 'this username has already taken' unajikuta huwezi kujiita Hilo jina
Huyo anttonia alifanya kosa kubwa sn kujaribisha kubadili ,mtu akatembea na hilo jina makusudi alfu katulia tuliii
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kitambo sanaaaa!!✌️✌️✌️Yah,antonnia wa kitambo Sana,enzi hizo wengine tunaingia km guest user
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu anatumia I'd yako?Huyo thief Atachanika msamba Satoh wee muache aige kunya kwa tembo tyu awaulize wenzieee!!
![]()
Abeeee 🤒🤒Kuna uwezekano Depal akawa anapiga mbege mchana maana hachelewi kukichafua
Mwandiko wake unajaaga kisirani Sana huyu mmeru
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Bold kabisaaJf sehemu ya kufurahi na kupiga ma hadithi tu
🤣🤣🤣😂🤣🤣Huyo thief Atachanika msamba Satoh wee muache aige kunya kwa tembo tyu atachanika msambaa🤗🤗🤣🤣🤣😂😂!!🤭🤭
Siendi
Ngoja National Anthem akija atafafanua vizuriHongera ya nn 😂😂🤗
😏😏😏National Anthem naomba kutumia avatar yako
🤠🤠🤠 Ufafanuzi yamkini anajua ila anajifanya hajuiNgoja National Anthem akija atafafanua vizuri
Hilo pozi sasa Babuu ake doohView attachment 2357835
Siku moja moja sio mbaya unakutana na Wazee wenzako mnakula stori kama hivi kukumbukia Enzi.
Anza kujizoesha hili mapema ili ukifika umri wa Uzee kama wangu usipate shida ya upweke wakati huo Bibi anakuwa amekwenda kusalimia Wajukuu zake DSM
Hello Wednesday![]()







!!