Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Wala siyo ghafla.nyie ccy mbna ghafla sana???
Nilisema kitambo tu kuwa yule mzee bangi sana.
Wala siyo ghafla.nyie ccy mbna ghafla sana???
Naifuata wapi hiyo zawadi....?😊😊😊😊Safi kabisaa.. Nazawadi yako unique 😊😊😊.. Ungekuwa unaonja tu ungeikosaaa ☺️☺️
Wala siyo ghafla.
Nilisema kitambo tu kuwa yule mzee bangi sana.





aseeeeeeh hatareeee.Hii nakuletea mwenyewe 😉😉Naifuata wapi hiyo zawadi....?😊😊😊😊
Then White House it is!!!😊 Ila shurti uingie ndani umsalimie mkuu 😁Popote utaposema nikupitie nakuja 😊😊
Sijui watu huwa wanazichukuliaje hela za wenzao🤣A very friend of mine kanipigia sim,mwezi March"hallow udugu niazime laki moja nilipe mchezo kesho j1 narudisha bestie"miye Tena kwa no ipi?ntumie kwenye akaunti hii jina Fulani,miye Tena chwaaap!nikatuma!
J1 kimya,j2,mpk leo!sijui j1 ya ngapi!na kauchuna km Hakuna kitu!
Acha tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sana.... Mbona unaniita shemeji unataka kuninyima nin?!Nakusabahi shemela
Muda & sehemu??? Nataka kukaa mkao wakisubiri ☺️☺️Hii nakuletea mwenyewe 😉😉
😊😊😊 Uzuri wote tutakuwa wakuuu... Hakuna kitacho haribikaThen White House it is!!!😊 Ila shurti uingie ndani umsalimie mkuu 😁
😊😊😊 Ukiamka tu, niambie nianze safariMuda & sehemu??? Nataka kukaa mkao wakisubiri ☺️☺️
😆😆😆😆😆😆😊😊😊 Uzuri wote tutakuwa wakuuu... Hakuna kitacho haribika
au atakuwa anakaribia kunifikia 👷♂️👷♂️😆😆😆😆😆😆
Unaweza ukawa umemfikia 🌟 ???😲😲
Abee bagheshiIlomboye
Ngw'agoko baghesi
Inatikiwa kifimbo cheza aludi ili awe akulekebishe maandish ya lugha(KIMOMBO NI NIN)nimesomaaaaaa, tatizo kimombo hiki sasa daaah.
NimerudiKhee mchana nilikaanga chips
Yan we ule muda kidogo wa kuiba ndio nipike wali 🤣
Wasalimie gym
Mkulaji bange wa kwanza ww tena wa kike humu JF
Mapema sana kwahiyo jua likichomoza tu anza safari 🙂😊😊😊 Ukiamka tu, niambie nianze safari
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤗au atakuwa anakaribia kunifikia 👷♂️👷♂️