Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Chaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!
Chaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!
Yaan tupo calm tu😅Na Wala haturingi yaani🥰
Nikikukamata Lazima nikuachie alama!Chaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Naona leo umeweka uswahili pembeni.Kaitafute
Kwanini 🤣😂🤣🤸♂️Naona leo umeweka uswahili pembeni.
Unadhani ni Lesbos?Hawa dadaz mapozi Yao
Mimi nguvu sinaNikikukamatabLazima nikuachie alama!
HapanaUnadhani ni Lesbos?
Kama kawaida yetuYaan tupo calm tu😅
WachapeHapana
Ila kama watumishi wa Bwana,pozi lao Hilo kuweka kwenye picha ya tangazo la mountain sijaipenda.
Watu wa mjini Facebook wanawachapa na reactions zaoWachape
This time CAFCL tunaenda finalKama kawaida yetu
Mbele daima nyuma kwetu mwiko💚💛💚💛This time CAFCL tunaenda final
Amen!!!!!😇😇😊😊😊 Tuseme Amen. Leo umeniombea dua njema kabisaa..
Sasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!




ndo watu wapole walivyoo!!!ngumi mkononi!!!






😊😊😊 Nitakuwa dereva wako kabisaa..Amen!!!!!😇😇
Usije tu ukaninyima lift 🙂
Yani nilivyoyanywa kwa pupa...ingekuwa hiyo ya kijani ningekuwa 🥴🥴🥴😁Na mie maji 😒😒 na ile chupa ya kijani
Ntaruhusiwa kupiga playlist yangu??☺️☺️☺️😊😊😊 Nitakuwa dereva wako kabisaa..