Mimi mwenyewe nilishawahi kutofautiana na rafiki ambaye alikuwa kama Ndugu,,kwa ugomvi wa kijinga tu.
Nilikosa amani.
Ila kama Mungu alidhamiria muwe karibu mtakuwa tu bila kujali Chochote..
Alininunia baadaye alijirudi mwenyewe.
Kitu kama ni Chako basi ni Chako tu,hata kama kwa sasa hakipo mikononi mwako ila inakuja siku kitarudi.