Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Majuzi voda nimejiunga bando la wiki asubuhi kesho yake mchana naambiwa umefikia kikomo uwiiii!![emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh, mie za buku buku ndo zinazo ni boost, woiiiiiiih
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba niwe beki 3 wako. Huhuhuh
 
Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!
Hivohivo akawa Usiku anapimaa mwingii nikamwambia wee usintanieeee!!
Nikawa nafungia mafuta nampimia namwambia hayo wiki mbili dogo!!

Binti mwingine nikamleta si akapata kakijana kasela ka kujipigia weeee alininyoosha! Mie nikiwa kazini Msela anakuja kuanzia asubuhi anaondoka muda naokaribia Kurudi kazini...
Tukifunga nilikua namuacha hata mwezi au wiki 2 hivi nzima kumbe Ndiokwanzaaaa mwamba alikua anahamia kabisa as if wameoana hapo kwangu wanakula wanalala wanajiachia vyakutosha! Siku waakiamua kupikia hapo wanapikaaa wanakulaaa... wakiamua kupikia kwa mwamba Binti achota tu mavitu wanaenda kupika hukoo!
Sasa nikawa nashangaa Mbona vitu vinaisha mapema na mtu yuko pekeake how which where???
Au kama tupo ila Mbona sikuhizi vinawahi kuisha??? Siku nilisahau kitu nikarudi ghafla nilichokikuta[emoji134][emoji134]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malizia hii story, huu ubuyu mtamu nautaka full. Lazima huyo kijana ni boda boda tyuuh.

Chezea kupenda weyeeeeeeeee, usisikie mweeeeeeh.
 
Alishaondoka Hahaha! Mwamba mwenyewe alikua mume wa mtu huko katelekeza familia mke na watoto watatu! Siku nimerudi mkewe kaja kunilalamikia! Ukute nilikua nalisha nahio family yahuyo kwamba manina zake yule binti alijua kuninyoosha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia ina vituko woiiiiiih
 
KaCoca kamefika,hapo kataquote vilio vyetu vya vocha huko juu, comment moja baada ya nyingine.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo sio shida zangu, kuhusu vocha mie nipo kimyaaaa, sina maneno.

Nawee unachezea fweza unalalama why???
 
Back
Top Bottom