Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Depal Kwemaa?
Depal Kwemaa?
Hatari tupu nakwambia!! Sasa mie sio mtumiaji wa Mamiatandao yanayokula Mbs kiviiilee zinaenda hivi je watumiaji si balaa???Yaani mzungu bora angetuachia Nokia tochi😬
Mpendwa Airtel hata ukiweka ya mwenzi hutoboi kuna siku nilipiga kelele peke yangu ndani yaani 10000 yangu inaniuma sana😬😬😁😁😁Kuna Uzi wa VPN naufwatilia Kwa karibu.
Hizi bando zitatupa magonjwa ya moyo😂😂😂😂😂😂.
Nikisema niunge la mwezi ndio kabisaa,linaisha ndani ya siku 4.
Wamenitumia tena msg🤣💔
🤣🤣🤣🤣! Kasi ya matumizi ya bando imekua juuu Hatari... hapo hujaja kwenye bei ya vitu kama chakula n.k🙌🙌🙌🙌Mpendwa Airtel hata ukiweka ya mwenzi hutoboi kuna siku nilipiga kelele peke yangu ndani yaani 10000 yangu inaniuma sana😬😬😁😁😁
Vodacom jiunge kuanzia 20KKuna Uzi wa VPN naufwatilia Kwa karibu.
Hizi bando zitatupa magonjwa ya moyo😂😂😂😂😂😂.
Nikisema niunge la mwezi ndio kabisaa,linaisha ndani ya siku 4.
Wamenitumia tena msg🤣💔
Mimi sitaki kabisa kuchoma elfu 10 yangu naiona .Mpendwa Airtel hata ukiweka ya mwenzi hutoboi kuna siku nilipiga kelele peke yangu ndani yaani 10000 yangu inaniuma sana😬😬😁😁😁
Yaani elfu 20 niweke bando likae wiki??siwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔Vodacom jiunge kuanzia 20K
At least kinakaa
Ila vya buku buku sijui buku3
Utalia..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nouma sanaMimi sitaki kabisa kuchoma elfu 10 yangu naiona .
Bora elfu 2 roho inauma na kutulia.
Halafu Kuna Hawa wanaitwa Malaika wa Mungu wamesonga Lita tano ya sandrop na unga ndoo nzima hakiyanani💔😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣! Kasi ya matumizi ya bando imekua juuu Hatari... hapo hujaja kwenye bei ya vitu kama chakula n.k🙌🙌🙌🙌
Mitano tena
Acha kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nouma sana
Acha kabisa mpendwa kichwa kinapata moto🤣🤣🤣🤣! Kasi ya matumizi ya bando imekua juuu Hatari... hapo hujaja kwenye bei ya vitu kama chakula n.k🙌🙌🙌🙌
Mitano tena
Elfu 20 zinakaa 3weeks na kidogoYaani elfu 20 niweke bando likae wiki??siwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔
Siku hiyo nilikuwa nimechoka kujiunga kila siku bwana nikajilipua aiseee eti mwenzi ya kwiooo😁😁Mimi sitaki kabisa kuchoma elfu 10 yangu naiona .
Bora elfu 2 roho inauma na kutulia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Halafu Kuna Hawa wanaitwa Malaika wa Mungu wamesonga Lita tano ya sandrop na unga ndoo nzima hakiyanani💔😂😂😂😂
🤣🤣Mimi sitaki kabisa kuchoma elfu 10 yangu naiona .
Bora elfu 2 roho inauma na kutulia.
Nisije pata magonjwa ya moyo na elfu ishirini yangu💔😂😂😂Elfu 20 zinakaa 3weeks na kidogo
Mimi tar 1 nikiweka
Zinakaaa siku 23hivi, zikiwahi sana 19 kma laptop ilitumika sana kuji WiFi
Kama sikuji WiFi sana
Nafika hadi siku 24/25/26
Mimi hiyo naona Afadhali..
Mambo unaweka mb 450 kwa buku unawasha WiFi hujamaliza hata kuandika ka Email, msg ndugu mteja umetumia asilimia 75,, siyataki mambo hayo maana naona hiyo ndio inauma sana
Kiujumla bei ya vitu iko juu hatari Regardless una hela au hauna!Acha kabisa
Hili janga nilidhani napitia pekeyangu Kwa kuwa Sina hela🤣🤣🤣🤣
Ya mia tano unatumia kwa masaa 3 si masaa24 kama wanavyoandika😁😁😁Sasahivi narudi tenaekuunga bando la miatano..heri niweke kila siku.